Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mpigie kura Miss Kigamboni (2013) Magdalena Olotu kwenye shindano la “Next Africa Super Model Ultimate Search 2014″

$
0
0

MAGDALENA OLOTU

Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la kumtafuta Super Model  wa  Afrika shindano hilo linaitwa “Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014″ litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.

Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa facebook uitwao Supermodel Search Africa au bofya ili jina lake MAGDALENA OLOTU ili kumpigia kura.

WATANZANIA TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles