Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Tamasha la magari kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club

$
0
0

1

Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy.

2

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy akiongea na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam ambapo pia mafundi wapatao 50 watatembelea Hospitali ya CCBRT kusaidia wanawake wenye Ugonjwa wa Fistula.Kushoto ni Mkurugenzi wa JOSEKAZI AUTO GARAGE Bw. Joseph Mgaya.(Picha na Hassan Silayo MAELEZO).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles