Washauri kuundwa sheria kusimamia utekelezaji wa bajeti
Mmoja wa washiriki wa mjadala wa wazi akichangia mada. Mmoja wa washiriki akichangia mada kwenye mjadala wa wazi. Baadhi ya washiriki wa mjadala kutoka asasi anuai wakifuatilia mada. Baadhi ya...
View ArticleTBL yatoa elimu kwa wakulima juu ya uzalishaji bora wa zao la Shayiri
Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha...
View ArticleProf Sospeter Muhongo na ujumbe wake watembelea ubalozi wa Tanzania,...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama...
View ArticleMama Salma Kikwete aweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Watoto huko...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais wa Shirika la International Health Partiners (IHP)-JEMA Tanzania, Mama Mary Ellen Kitundu...
View ArticleRais Jakaya Kikwete azindua chapisho la tatu la taarifa za msingi za Sensa
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya...
View ArticleSMART CODES goes to the next level with award nomination
Smartcodes, a tech startup from Dar-es-Salaam has been nominated in the 2014 Awwwards from awwwards.com as one of the best websites. As the #1 pick from Tanzania, Smartcodes has been nominated on an...
View ArticleTop countries for billionaires
CNNMoney | by Jillian EugeniosWhere are the wealthiest people on the planet? These economies boast the highest number of people whose net worth exceeds $1 billion, according to Wealth-X and UBS...
View ArticleWB lowers projections for global economic outlook, urges developing countries...
World Bank Group President Jim Yong Kim. Developing countries are headed for a year of disappointing growth, as first quarter weakness in 2014 has delayed an expected pick-up in economic activity,...
View ArticleWaandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma...
Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37...
View ArticleMatukio mbalimbali kutoka bungeni mjini Dodoma leo
Mbunge wa Mwibara Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati...
View ArticleHealth Minister & French Ambassador celebrate Hospital Expansion on French...
On the occasion of French Cooperation Day, Minister for Health and Social Welfare, Hon. Dr. Seif Rashid, today joined the French Ambassador, His Excellency Marcel Escure and visiting dignitaries from...
View ArticleMama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi...
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Na Mwandishi wetu WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini,...
View ArticleJK awasili Dodoma
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mweyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 11, 2014 kwa ajili ya vikao vya maadalizi ya kuwasilishwa kwa...
View ArticleWananchi waeleza mafanikio ya utafiti kiraghbishi wa TGNP
Baadhi ya wanaharakati ngazi ya jamii wakielezea mafanikio ya utafiti wa kiraghbishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika maeneo yao ulivyokuwa chachu ya baadhi ya mabadiliko kwenye...
View ArticleHuduma ya Push for Change yazinduliwa Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Push Media Mobile, Freddie Manento akizingumza katika uzinduzi wa Kitengo cha Push For Change ambacho kinajihususisha zaidi na utoaji taarifa mbali mbali kwa taasisi...
View ArticleWafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika...
View ArticleMatukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya Papo kwa papo Bungeni mjini Dodoma Julai 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sarah Kasui, mwanafunzi wa...
View ArticleBajeti 2014/2015 yauma na kupuliza!
Mheshimiwa Saada Mkuya Salum (Mb), akiwasili Bungeni Mjini Dodoma kuwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka 2014/15 leo. Na MOblog Team, Dodoma BAJETI mpya...
View Article“Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu” – Mama Salma Kikwete
MKE wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi Tamasha la kwanza la vitabu vya watoto sambamba na kampeni ya usomaji yenye kauli mbiu ‘Mpe Kila Mtoto Kitabu’ kwenye uzinduzi...
View ArticleProf Sospeter Muhongo, akutana na Mr Mayank Bhargava akiwemo Mr Paul Hinks...
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini...
View Article