Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

$
0
0

PG4A2443

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya Papo kwa papo Bungeni mjini Dodoma Julai 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2610

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sarah  Kasui,  mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya  Sejeli  mkoani Dodoma kwenye viwanja  vya bunge mjini Dodoma.

PG4A2616

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  wabunge  Nyambali Nyangwine  wa Tarime (katikati) na  na Saidi Mtanda  wa Mchinga kwenye viwanja  vya bunge mjini Dodoma.

PG4A2635

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

PG4A2655

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,Lucy Mayenga (kushoto) na Mbunge wa Mchinga Saidi Mtanda kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma.

PG4A2665

aziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani kutoka jimbo la Busanda, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Wapili kulia ni Mbunge wa jimbo hilo, Lolesia Bukwimba. 

PG4A2522

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani wa jimbo la Busanda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2014. Kulia ni mbunge wao Lolesia Bukwimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2680

PG4A2671


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images