Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne June 10, 2014. Katika mazungumuzo hayo alikuwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao kutoka Tanzania.
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao toka Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakifuatilia mazungumzo hayo yaliyofanyika siku ya Jumanne June 10, 2014 kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mhe. Liberata Mulamula na uhujmbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA.
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akimsikiliza Mr. Paul Hinks wa Symbion Power ambaye ni mmiliki wa kampuni hiyo alipofanya mazungumzo nae siku ya Jumanne June 10, 2014 kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini wakifuatilia mazungumzo na Mr. Paul Hinks CEO wa kampuni ya Symbion Power.
Mr. Paul Hinks CEO wa kampuni ya Symbion Power. akimsiliza Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sosspeter Muhongo.
Mazungumzo yakiendelea.