![PG4A2392]()
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mweyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 11, 2014 kwa ajili ya vikao vya maadalizi ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali kesho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).