Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya Vyakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar yakubaliana na Mfanyabiashara...

Mmiliki wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali mbaya iliyotokea Mweka ,Moshi Vijijini iliyohusisha VX na Daladala

Ajali imehusisha gari ya abiria aina ya hiace inayofanya safari zake kati ya Mweka na Moshi mjini na Landcruiser VX iliyokuwa  imewabeba  wanafunzi wa chuo cha usimamizi na uhifadhi wa wanyama pori...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Despite poaching Tanzania’s tourism sector generates nearly 4 billion USD...

Embassy of the Federal Republic of Germany in Dar, Charge d’Affaires,  Mr Hans Koeppel speaks to Hyatt Regency the Kilimanjaro Hotel, General Manager, Trevor Saldanha during the cocktail party...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Radio Uhuru walivyouaga mwaka 2013 kwa raha zao

 Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shy-Rose aiomba Serikali ya Tanzania kuwezesha Watanzania waifahamu EAC na...

Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA  nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK hakupokea maombi ya marekebisho ya Posho Bunge la Katiba – Ikulu

Katika siku za karibuni, kumekuwepo na habari nyingi, baadhi zenye kuchanganya umma na nyingine hata zikidai kuwa baadhi ya wafanyakazi nchini wanapanga kuandamana endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza (ZNCDA) yazinduliwa rasmi Zanzibar

Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar. Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Worth Reading: The Power of Commitment

Was our failure to succeed really due to a lack of time, some unlearned skill, or a much deeper self-esteem issue? Well, we could probably get a great conversation going as to why so many people have...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya wa Marekani ataka Serikali na Taasisi zijenge wajibu wa Kitaaluma...

Meya wa Jimbo la California Mstahiki Osby Davis  akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kuzungumza naye akiuongoza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM yazidi kutesa kampeni za Ubunge Kalenga

Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (32), akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali,  Kata ya Ulanda, Iringa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

This is what you have to learn about life

Life is a gift given to us each and every day. Let’s dream about tomorrow, but live for today. To live a little, we need to love enough. Love turns the ordinary into the extraordinary. Life is a...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yashiriki mkutano wa 3 wa kamati ya kusimamia mradi wa kupashana...

Mwakilishi wa Tanzania katika mkutano huo Ndg. Phares Magesa ambaye pia ni Mkurugenzi wa ICT wa TPA akitoa mada katika mkutano huo unaondelea Brussels kwa kuratibiwa na Umoja wa Ulaya(EU). Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio Mbalimbali Bunge la Katiba leo

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Ameir Kificho akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba alipowasili katika ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma kushoto kwake ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Secretary – General Message On World Wildlife Day “Go Wild for Wildlife”

For millennia, people and cultures have relied on nature’s rich diversity of wild plants and animals for food, clothing, medicine and spiritual sustenance.  Wildlife remains integral to our future...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Paul Makonda awasimika Makamanda 16 wa UVCCM jimbo la Singida mjini

Katibu hamasa Taifa wa Umoja wa vijana CCM, Paul Makonda (kushoto) akimkabidhi cheti cha ukamanda wa UVCCM kata ya Majengo na mfanyabishara maarufu mjini Singida, Nestory Nzuguma, kwenye sherehe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

South Africa: Pistorius Trial Begins

South Africa is looking on today as the trial of fallen Olympic star Oscar Pistorius gets underway. For the first time the trial will be televised round the clock throwing not only the sports star but...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Two Governments Structure Will lead to Break-Up Of the Union

Dodoma. The current plan to improve the two government system by CCM would lead to a break up of the 1964 Union between Tanganyika and Zanzibar because it is a non-starter, according to Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

And the life goes on…. HUSBAND AND WIFE …

This is the best and most civil way to have a fight between husband and wife instead of resorting to physical force… Poems written byWIFE andHUSBAND. WIFE: I wrote your name on sand it got washed. I...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sushi and sleep: World’s oldest person offers tips for a long life

Misao Okawa, who is recognised by Guinness World Records as the world’s oldest woman, receives a cake during her 115th birthday celebration at Kurenai Nursing Home on March 5, 2013, in Osaka, Japan....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yadhamini maonyesho ya sanaa yenye lengo la kuchangia fedha za kusaidia...

Mke wa makamu wa Rais wa Tanzania mama Aisha Bilal akipokea mfuko toka kwa meneja wa wateja maalum wa Tigo Bi.Aileen Peter kwenye maonyesho ya hisani ya bidhaa za sanaa yenye lengo la kuchangia fedha...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live