Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmark(NCD) Bibi. Susanne Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake katika sherehe ya uzinduzi wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni rasmin Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muhammed Dahoma akizindua Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni rasmi wakati mwenye katika picha ya pamoja ya viongozi wa (ZNCDA) na wafadhi wao kutoka Denmark.(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO-ZANZIBAR).