Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Bodi ya Vyakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar yakubaliana na Mfanyabiashara kurejeshwa Mchele mbovu Pakistan

$
0
0

DSC_1374

Mmiliki wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye wingi wa Nani 26 sawa na kg 2,600 katika Gonauni lake kwerekwe Zanzibar.

DSC_1378

Mchele mbovu uliodhibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo nunuliwa.

DSC_1384

Wafanyakazi wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.

DSC_1397

Mmiliki wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akinyesha Mchele mbovu ulithibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo ameshapeleka madai na kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni ya Bilal Rice Mills ya Pakistan. Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles