Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Tigo yadhamini maonyesho ya sanaa yenye lengo la kuchangia fedha za kusaidia makundi ya jamii yaliyo kwenye mazingira magumu

$
0
0
IMG_6574
Mke wa makamu wa Rais wa Tanzania mama Aisha Bilal akipokea mfuko toka kwa meneja wa wateja maalum wa Tigo Bi.Aileen Peter kwenye maonyesho ya hisani ya bidhaa za sanaa yenye lengo la kuchangia fedha za kusaidia makundi ya jamii yaliyo kwenye mazingira magumu yaliyoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya Tigo, maonyesho hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki shule ya kimataifa ya Tanganyika  jijini Dar es salaam.

IMG_6569

Mke wa makamu wa Rais wa Tanzania mama Aisha Bilal akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Tigo kwenye maonyesho ya hisani ya bidhaa za sanaa, wanaoshuhudia meneja wa wateja maalum wa Tigo Bi.Aileen Peter na wake wa mabalozi, maonyesho hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki yaliandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya Tigo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles