Barua kwa Mhariri: Katiba mpya mwarobaini kwa mawaziri mizigo
Rais Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu Kiongozi wakipozi na mawaziri na manaibu waziri baada ya hafla ya kula viapo hivi karibuni Ikulu jijini...
View ArticleWaziri mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi ateta na waandishi wa habari
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam mara baada ya kuripoti katika Ofisi yake mpya kufuatia...
View ArticleUNICEF, EU, Save the Children na Plan International waungana na Tanzania...
Serikali ya Tanzania, Mfuko wa Maendeleo ya Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF), Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) Tanzania, Shirika kimataifa la Save the Children (SCI) na Shirika la Plan International...
View ArticleMakamu wa Rais awasili Zanzibar kuzinduwa kampeni Kiembesamaki leo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima...
View ArticleAirtel ‘Mimi ni Bingwa’ yazidi kuwapa watanzania wengi faraja
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando (kulia) akimpigia simu Bw. Edwin Edmund Kajimbo mkazi wa Iringa aliejishindia tiketi mbili ya safari iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda kuangalia...
View ArticleWanakijiji watekeleza mauaji ya kinyama kwa mhudumu wa Wanyamapori
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida,SACP,Geofrey Kamwela, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari iliyohusu mhudumu wa wanyapori kijiji cha Nduamughanga wilaya ya Singida, kuuawa kwa kukakatwa mapanga...
View ArticleMuswada wa Sheria ya Wagudunzi wa aina mpya za mbegu wajadiliwa Visiwani
Mwakilishi wa jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akichangia Mswada wa Sheria ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje...
View ArticleMawaziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii waripoti kazini
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akipokea ua kama isharaya kukaribishwa tena kwenye wizara hiyo, awali dkt. Seif alikuwa Naibu Waziri kwenye wizara hiyo. Waziri wa afya na Ustawi wa...
View ArticleMatengenezo Daraja la Mkundi yaanza, Waziri Magufuli aelekeza kazi kufanyika...
Mitambo ikiwa kazini. Kazi za ujenzi zikiendelea. : Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafuatilia kazi katika moja ya mitambo ya barabara. Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe...
View ArticleMakabidhiano ya Ofisi kati ya Waziri Dkt. Mwinyi na Dkt. Seif
Aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na sasa ni Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akizungumza na watendaji wa wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa...
View ArticleUganda to deport Briton charged over gay sex
Homosexuality is illegal in Uganda [File: EPA]. Bernard Randall’s lawyers say prosecutors are using expired visa as excuse to deport him after case is dropped. A Ugandan court has ordered the...
View ArticleWorld Economic Forum calls on business leaders to strive for corruption-free...
Klaus Schwab, Founder and Executive Chairman, World Economic Forum pauses to remember Nelson Mandela during the ‘Special Adress by Didier Burkhalter, President of the Swiss Confederation and Minister...
View ArticleShughuli mbalimbali za Rais Kikwete akiwa Davos, Uswisi
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku wa kuamkia leo Januari 23, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda azungumzia mafuriko yaliyotokea Morogoro
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo ofisini kwake jijijni Dar es Salaam mara baada ya kurudi kutoka Mkoa wa Morogoro...
View ArticleFlavian Matata Foundations #Fmf::Back 2 School Project Ilivyokuwa
MRADI WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION WA BACK TO SCHOOL PROJECT ILIOFADHILIWA NA MFUKO WA PENSHENI PSPF ILIYOMALIZIKA WIKI ILIYOPITA IVYOENDA ALIANZIA KISARAWE KATIKA SHULE YA MSINGI YA CHANZIGE B NA...
View ArticlePendekeza Watanzania waliong’ara kwa kuokoa mama na watoto wachanga, wapewe...
Ni kutambua mchango mkubwa, hii ni zawadi inayowafaa vinara! Tuzo ya ufanisi bora kabisa katika afya ya akinamama na watoto wachanga: Tuzo ya Mama Afrika imewadia. Watu wa kila kada, ikiwa ni pamoja...
View ArticleMr Omary Mjenga amkaribisha Mh. Nyalandu ofisini kwake Dubai na kumkutanisha...
Mr. Omary Mjenga akipata picha ya kumbukumbu na Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni Waziri mpya wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania wakati Waziri huyo alipomtembelea bwana Mjenga ofisini kwake Dubai. Mh....
View ArticleDavos 2014: Top 10 quotes of the day
By : Ceri Parker At the end of the first full day of the World Economic Forum’s Annual Meeting in Davos, catch up on the most inspiring and insightful quotes. I ask you to ensure that humanity is...
View ArticleRais Kikwete aongoza Wananchi wa Miono katika maziko ya aliyekuwa Mbunge wa...
Rais Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika...
View ArticleWaziri Mkuu amewaasa wanachi kutunza miundo mbinu ya mradi wa gasi nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na mafundi wanaojenga bomba la mradi wa gasi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua mradi huo. Na Eleuteri Mangi-Maelezo Mtwara SERIKALI...
View Article