Kanusho la Dkt. Cyril August Chami kuhusiana na yanayoelezwa kwenye Mtandao...
Naitwa Cyril August Chami (PhD) Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini na Mjumbe wa NEC-CCM kupitia Wilaya ya Moshi Vijijini. Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na mtu au watu waliotengeneza akaunti kwa...
View ArticleMajina ya Makatibu Tawala walioteuliwa na Rais Kikwete haya hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumamosi, Januari 18, 2014, amefanya uteuzi...
View ArticleBenki ya CRDB na UBONGO Media wazindua kipindi cha watoto cha”JJ Ubongo Kids”...
Watoto na wazazi wakifuatilia kwa umakini uzinduzi wa “JJ Ubongo Kids” kwenye screen kubwa iliyopo kwenye ukumbi wa Century Cinemax. Watoto wa shule ya Academics, wakicheza kwa furaha na mmoja wa...
View ArticleTanzania: World Bank Supports Land Ownership Reform and Better Access to...
World Bank Country Director for Tanzania, Mr. Philippe Dongier. The Government of United Republic of Tanzania and the World Bank signed the Financial Agreement for additional financing to the Private...
View ArticleKampuni ya China Word Buz yaelezea njia kupunguza gharama kwa wafanyabiashara...
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu akizungumza na...
View ArticleJahazi yatikisa kwa Muziki mkali wa Taarab Dar Live
Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki waliofurika Dar Live. Mzee Yusuf na wanenguaji wake kazini. Umati wa mashabiki ukiserebuka. Leila Mohamed akiwa kazini. Shabiki akiserebuka. Chidi Boy akikunguta...
View ArticleJK alianika Baraza Jipya la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- Mabadiliko Baraza la Mawaziri 2014
View ArticleAirtel yatoa meza na viti kwa walimu
Meneja wa Huduma za Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kushoto) akisalimiana na Diwani wa kata ya Msongola Bi. Angela Malembeka muda mfupi baada ya kukabidhi meza na viti kwa walimu wa shule ya...
View ArticleMedical Sector Vacancies with People Power
Ngo Medical Vacancy Ad_ Jan 2014 by zainul_mzige21
View ArticleTigo yazindua ‘Rudishiwa Pesa yako’
Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo katika uzinduzi wa promosheni mpya ya ‘Rudishiwa Pesa Yako’ inayowapa wateja wapya wa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini...
View ArticleRais Kikwete aomboleza vifo vya watu 13 waliofariki kwenye ajali mkoani...
Gari aina ya Noah T,730 BUX linavyoonekana baada ya kugongwa na Lori m koani Singida. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi...
View ArticleJamii yatakiwa kujitolea kuwasaidia yatima
Meneja wa Kampuni ya Vodacom mkoani Mbeya Emmanuel Sagenge (Kushoto) akikabidhi msaada kwa Mwenyekiti wa mtandao wa watoto mkoa wa Mbeya Zahara Mansoor, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano...
View ArticleMahojiano na Faria Zam kuhusu msaada wa watoto walemavu Zanzibar
Pichani: Faria Zam muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation nchini Uingereza akihojiwa na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC Karibu katika mahojiano ya Jamii Production na...
View ArticleKampuni ya China World Buz yaendesha Semina kwa wafanyabiashara Jijini Arusha...
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya...
View ArticleS Africa says Rhino poaching is on the rise
A total of 37 rhino have been poached since the start of 2014 [Reuters]. A total of 343 arrests were made in the past year for poaching. More than 1,000 rhinos were poached in South Africa last year,...
View ArticleKituo cha mafunzo cha Benki ya Exim chatunukiwa cheti cha kimataifa cha ubora
Mwakilishi wa Kampuni ya ukaguzi ya ACM Tanzania Tawanda Manyuchi (kushoto) akipeana mkono na Meneja Mwandamizi wa Benki ya Exim – Mafunzo na Maendeleo Priti Punatar kabla ya kukabidhi cheti cha...
View ArticleJe ni kweli aina ya mavazi ya mkazo kwa wakinamama wajawazito kuongeza nafasi...
.kitabu kipya chazua utata kuhusu mama mjamzito mvuta Sigara au Madawa ya Kulevya kuathiri hisia za kujamiiana kwa mtoto .kitabu kinaonyesha maisha ya akina Mama Wajazwazito kuathiri kujamiiana kwa...
View ArticleMamia washiriki mazishi ya Mama wa Mzee Makamba
Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wakati wa shughuli za mazishi zikiendelea. Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo...
View Article15 Natural Remedies
Natural remedies are the healthiest way to treat your ailments, but where do they come from? Here are 15 common natural remedies from around the world that you may or may not have heard of. This is...
View Article