Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Muswada wa Sheria ya Wagudunzi wa aina mpya za mbegu wajadiliwa Visiwani

$
0
0

DSC_0627

Mwakilishi wa jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akichangia Mswada wa Sheria ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

DSC_0628

Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu akichangia Mswada wa Sheria ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

DSC_0634

Mwandishi wa Habari wa Gaazeti la Zanzibar Leo Mwantanga Ame akifanya  kazi yake ya Uandishi kwa Utulivu katika Ukumbi wa Juu Baraza la Wawakilishi lililoanza Leo huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles