Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mawaziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii waripoti kazini

$
0
0

Untitled

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akipokea ua kama isharaya kukaribishwa tena kwenye wizara hiyo, awali dkt. Seif alikuwa Naibu Waziri kwenye wizara hiyo.

Untitled 1

Waziri wa afya na Ustawi wa Jamii akisalimiana na baadhi ya wakurugenzi wa wizara hiyo.

Untitled 2

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe S. Kebwe akisalimiana na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Donan Mmbando,pembeni ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Charles Pallangyo mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya wizara hiyo.

Untitled 3

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, akisalimiana na Kamishna wa Ustawi wa Jamii Danford Makala.

Untitled 4

Dkt.Seif Rashid ambaye ameteuliwa kuwa  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akisaini kitabu kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo.

Untitled 5

Naibu Waziri akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi yake mpya mara baada ya kuripoti rasmi kuanza kutumikia cheo chake kipya kwenye wizara hiyo.kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Charles Pallangyo.

Untitled 6

Baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo wakisubiri kuwapokea Mawaziri wao wapya nje ya viwanja vya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.( Picha zote na Catherine Sungura –MOHSW).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles