Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo ofisini kwake jijijni Dar es Salaam mara baada ya kurudi kutoka Mkoa wa Morogoro alipokwenda kutembelea wananchi waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea jana. Mafuriko yalisababisha wanachi kukosa huduma za jamii ikiwemo usafiri wabarabara kutoka Dodoma kuja Morogoro na Morogoro kwenda Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake jijijni Dar es Salaam juu namana Wilaya za Gairo na Kilosa zilivyoathirika na mafuriko yaliyotokea mkoani Morogoro ambapo usafiri unatarajiwa kurudi katika hali yake ya kawaida takribani baada ya siku tatu hadi nne.(Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO)