Quantcast
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA yatoa TAHADHARI ya Vipindi vya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wajasiriamali wa soko lililoungua Arusha wamshukuru Nyalandu

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na Wajasiriamali wa soko la vinyago lililoungua moto Mkoani Arusha, mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahariri, Tamwa wakutana kufanya tathmini ukatili unaosababishwa na pombe

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited ‘Konyagi’, David Mgwassa (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CBA yatoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 3 kwa shule ya...

Meneja wa Kanda wa Bank ya CBA, Juliana Mwamsuva akimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Singisi, Janet Ayo mfano wa hundi ya sh 3,813,000/- kwa ajili ya kununua vifaa ya umeme kwa wanafunzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashekhe wa Bagamoyo wamtembelea Lowassa, wamshawishi kugombea urais 2015

MASHEIKH wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla...

Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Bilal ashiriki matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof.Muhongo aombwa kugombea urais 2015 na umoja wa vyama vya wanafunzi elimu...

Umoja wa Vyama vya wanafunzi elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha wajitokeza kumshawishi Prof. Sospeter Muhongo kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi...

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT. ...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22 Na Andrew Chale wa Modewji blog Hayawi hayawi…Sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo

Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa...

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu...

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bulembo ageukwa na wajumbe wake sakata la kwenda kwa Lowassa

Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Taifa na Mbunge wa Korogwe, Steven Ngonyani ‘Prof .Maji Marefu’ akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma hii leo juu ya tuhuma za yeye kutajwa na mmoja wa wajumbe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

2 Day Finance for Non Finance Managers Training by People Power

Join our 2-day workshop to acquire greater confidence and working knowledge of important finance concepts. When: 29th & 30th April, 2015, Where: The Colosseum, DSM For further details and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Nishati na Madini yatangaza ufadhili wa masomo nchini China kwa...

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto 13,000 nchini huzaliwa na magonjwa ya Moyo

Na Modewji blog team Imeelezwa kuwa, zaidi  ya watoto 13,000 nchini, wanazaliwa na magonjwa ya moyo huku kati yao asilimia 25 pekee, wanahitaji matibabu ya ndani kwa kipindi cha mwaka mmoja mara baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hospitali za Apollo na jitihada za kuimarisha sayansi ya mfumo wa fahamu...

Umakini kwa mara nyingine tena umewekwa katika uhitaji wa wataalamu zaidi na kuboresha miundombinu ndani ya sekta ya utabibu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu. Hii inakuja baada ya ziara ya hivi karibuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO DEWJI FOUNDATION yampatia Baiskeli kijana aliyepooza mguu

Mtendaji Mkuu wa MO DEWJI FOUNDATION, Gerald Mgesi David akimkabidhi rasmi kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (tricycle) itakayomsaidia katika kutembelea kwenye shughuli...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live