TREVO yaendelea kujiimarisha Tanzania, watu mbalimbali wafaidika
Na Andrew Chale wa Modewji blog Bidhaa ya TREVO yenye virutubisho vya asili zaidi ya 174, bidhaa kutoka nchini Marekani iliyotengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa...
View ArticleUN kuainisha eneo kukumbuka biashara ya utumwa
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo akisoma hotuba ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon kwenye maadhimisho ya kumbukumbu kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake...
View ArticlePINDA afungua mkutano wa REPOA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifunga Mkutano wa Taasisi ya Research on Poverty Alleviation in Tanzania (REPOA) kwenye hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es salaam Machi 25, 2015. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleMatunda ya Tanzania kuuzwa nje ya nchi
Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA SERIKALI imeweza kushawishi mashirika ya kimataifa ya ndege kuongeza idadi ya safari pamoja na kiwango cha mzigo kinachosafirishwa kutoka Tanzania kwenda nje ya...
View ArticleCCM Arusha yapingana na kauli ya Nape
Katibu Mwenezi akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Makao Makuu ya Chama hicho. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha,Isaack Joseph akizungumza na waandishi wa habari jana...
View ArticleWajane kata ya Msalala Mbeya wadai kupokonywa mali wanapokata kurithiwa
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki katika warsha ya mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP) wakiwa katika warsha ya siku mbili jijini Mbeya. Baadhi ya waraghbishi wa ngazi ya jamii kutoka...
View ArticleTAHARIRI: Tabia hii ya wauza mitumba soko la Mchikichini ni udhalilishaji wa...
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam. Na Andrew Chale wa Modewji blog Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji...
View ArticleJembe FM ya Mwanza yapewa leseni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya...
View ArticleNIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana
Na Andrew Chale wa Modewji blog Taasisi ya Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) tawi la Mwanza mapema Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya...
View ArticleShirika la HAPA lamtunukia tuzo mwandishi wa modewjiblog Singida
Mwandishi wa habari wa modewjiblog Singida, Nathaniel Limu, akiwa na tuzo aliyokabidhiwa na shirika lisilo la kiserikali la HAPA kwa mchango wake wa kushiriki utekelezaji wa mradi wa ushiriki sawa kwa...
View ArticlePinda akutana na uongozi wa kampuni ya China Merchant Group
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania...
View ArticleChuo cha CBE kuanza kutoa shahada ya elimu katika masuala ya biashara
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa...
View ArticleMkutano wa kamati ya watalaam wa fedha, uchumi na mipango wa nchi wanachama...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Hamis H. Mwinyimvua (Kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh.Naimi Azizi wakiwaa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watalaamu wa masuala ya Fedha Afrika...
View ArticleUmoja wa vyama vya walimu wa nchi za AFR/Mashariki wafanya mkutano wa siku 4...
Mratibu Msaidizi wa Utafiti na Mafunzo wa Umoja wa Vyama vya Walimu wa Nchi za Afrika Mashariki (FEATU) Bi. Lucy Njura Barimbui akiwasilisha mpango kazi wa miaka 5 ya Mtandao wa Wanawake wa Vyama vya...
View ArticleKutoka Bungeni mjini Dodoma leo kunakoendelea kikao cha nne
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge)Mhe.Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania kwa mara ya pili katika Bunge,Mjini Dodoma. Mhe.Lediana...
View ArticleKitabu cha Dira na Tumaini Jipya Handeni
Picha juu na chini ni mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Bingwa, Dimba na Mtanzania kutoka Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Sharifa Mmasi pichani akisoma kitabu cha Dira na Tumaini Jipya...
View ArticleRais Kagame ahudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati jijini Dar es...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor...
View ArticleUnderstanding Endometrial Cancer – The Basics
What Is Endometrial Cancer?: Cancer can affect the uterus, the hollow, pear-shaped organ where a baby grows. The uterus is lined with a special tissue called the endometrium. When cancer grows in this...
View Article