Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa...
View ArticleTanzania yachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya mawaziri wa fedha, uchumi...
Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Watalaam wa Fedha,Uchumi na Mipango kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika (ECA) kwa kipindi cha mwaka mmoja....
View ArticleMadereva 21 wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wapatiwa mafunzo na NIT,...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleKaymu Opens Drop off station in Kariakoo
Kaymu Tanzania Country Manager Erfaan Mojgani speaking to the media about the new office launched in Kariakoo which will help improve Kaymu’s delivery services. Zacharia Lucas, who has a shop on Kaymu...
View ArticleZiara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa kukagua miradi
Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC...
View ArticleWananchi Arumeru wavamia shamba la mwekezaji la Karamu Estate
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilo la Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi. Baadhi ya mabango...
View ArticleKinana: Mama Anne Kilango Malecela ni Katapilla la Same Mashariki, amsifu kwa...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Same Mashariki na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mama Anne Kilango Malecela wakati alipowasili katika kijiji...
View ArticleUnderwater Maternity Photography
This Photographer Is Changing Maternity Photography With His Underwater Mermaid Moms My name is Adam Opris and I am a wedding and lifestyle photographer by day and underwater photographer by night. I...
View ArticleUnaujua mpira wa ‘Chandimu’..??? usome hapa kidogo!
Na Andrew Chale wa Modewji blog Tanzania ni miongoni mwa Taifa ambalo limekuwa likikua kila kukicha kwa kila Nyanja ikiwemo Elimu, biashara na Uchumi wake kwa ujumla ambapo mbali na vitu hivyo pia...
View ArticleMatumla Jr ‘amtandika vibayaa’ bondia wa China Wang Xin Hua, aenda kupigana...
Mohamed Matumla Junior akimtupia makonde Mchina Wang Xiu Hua. Na Andrew Chale wa Modewji blog Bondia anayetoka kwenye familia yenye kusifika kwenye mchezo huo wa ngumi hapa Nchini Mohamed Matumla...
View ArticleRais Robert Mugabe wa Zimbabwe awasili Arusha tayari kwa kufungua mkutano wa...
Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe akishuka kwenye Ndege wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro International Airport (KIA) tayari kwa kufungua mkutano wa Vijana Viongozi wa Afrika...
View ArticleDMV All Stars watua VOA
Sunday na Ebreezy, Domi, Aj Ubao na Prince Heri.Jiandae kusikiliza mahojiano yao katika Jukwaa la Vijana la VOA. Aj Ubao na Domi wakijiandaa kupiga acapella. San Tized na Prince Heri katika acapella....
View ArticleHospitali ya Mt. Meru yakabiliwa na upungufu wa mashuka ya kujifunikia wagonjwa
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group, Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt Meru, Sifael Masawe jana kikundi...
View ArticleWanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Tanga wafanya ziara ya...
Wageni wakiwasili kwenye ofisi za Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSPTB, Dr Tesha akitoa hutuba ya ufunguzi kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa pili wa stashahada ya...
View ArticleKatibu UWT Serengeti ‘ajilipua’ asema ni bora CCM ikamuacha Lowassa agombee...
Diwani wa kata ya Ikoma wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Sebastian Sabasaba Banagi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana juu ya ujio wao kwa Mh.Lowassa, kuwa sauti ya wengi ni sauti...
View ArticleBalozi Seif Idd apania kukuza michezo jimboni, akabidhi vifaa kwa timu 60 za...
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Seti za Jezi na Mipira Mmoja wa Viongozi wa timu 60 zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope hapo Kijiji cha Kipandoni Upenja Wilaya ya Kaskazini...
View ArticleTCRA izimulike blogs ‘Uchwara’ na kuzichukulia hatua kali
“Screen shot” ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima. …Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi Na Andrew...
View ArticleMaoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015
Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya...
View Article