PARENTING: Measuring Your Child’s IQ
Intelligence Quotient” (IQ) is a score that reflects how “smart” a person is as compared to others when measured by a particular test or set of challenges. As long as you do not over-interpret IQ,...
View ArticleZiara ya Lukuvi mkoani Arusha yaanza
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akiingia jengo la Utawala la Mkoa wa Arusha ili kukutana na Uongozi wa Mkoa huo kupata taarifa ya Mkoa inayohusu migogoro...
View ArticleSerikali yahimiza Waandishi nchini kuandika habari kwa kubobea kwenye Sekta
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia. Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA SERIKALI imewashauri Waandishi wa Habari nchini kuchagua na kubobea katika sekta mbalimbali...
View ArticleThe joy at ACACIA 2014 CEO Excellence Award
Security Manager Operations of Acacia’s Bulyanhulu Gold Mine, Assistant Commissioner of Police (rtd), Abdallah Mssika, (C), is being congratulated by the mine’s General Manager, Michel Ash, (L), as he...
View ArticleHappy Birthday Mama mzazi wa Blogger Father Kidevu
TAREHE ya leo ni ndio aliyo zaliwa Mama mzazi wa Blogger na Mpigapicha nguli Tanzania, Mroki Mroki, Bi. Mary O.Nathan (pichani) wa Kinyenze, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye leo anatimiza...
View ArticleSerikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la TAifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga. Hayo...
View ArticleMaadhimisho ya PAI yafanyika Arusha
Picha juu na chini ni Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote, lengo la maandamano hayo yaliyoanzia kwa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Afungua mkutano wa kwanza wa washirika majenzi ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika...
View ArticleJKU kupatiwa uwezo wa kijiendesha kiuchumi
Na Abdulla Ali-maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeanza kuwapatia nyenzo za kufanyia kazi Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ili liweze...
View ArticleMradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo , Nachingwea Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa...
View ArticleMaadhimisho wiki ya maji, Mpiji Magohe watoa ardhi bila fidia kupata umeme wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji...
View ArticleTanzania, Japan watiliana saini ujenzi wa kituo cha ufundi stadi Ileje
Signing the grant contract, witnessed by Hon. Janet Mbene, Deputy Minister of Industry and Trade, and Hon. Rosemary Senyamule, Ileje District Commissioner. Front line from the left: Mr. Mussa Otieno,...
View ArticleMama wa mitindo Asia Idarous kupamba siku ya Mwanamke Duniani Zanzibar Machi 22
..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarab Na Andrew Chale wa Modewji blog Machi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa...
View ArticleSamsung Electronics Africa takes a ‘What If I Can’ step forward
The energy stored from shopper footfall will contribute towards benefiting underprivileged communities in Africa Samsung Electronics Africa (http://www.samsung.com/africa_en) took a bold step forward...
View ArticleMatumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya...
View ArticlePinda aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri...
View ArticleWatumishi Katiba na Sheria wamuaga Joseph Ndunguru anayestaafu leo baada ya...
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Joseph J.K. Ndunguru, ambaye anastaafu leo (Ijumaa, Machi 20, 2015) baada ya kutimiza miaka 60, akimlisha keki Katibu...
View Article