Uzinduzi wa kampuni mpya ya Quality Service and Catering wafana
Mhasibu wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering, Bi.Magreth Tairo akizindua kampuni hiyo City Lounge jijini Dar es salaam inayojishugusha na upikaji wa vyakula katika sherehe mbalimbali...
View ArticleTaswira ya Bonanza la wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku mkoani Morogoro
Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Leaf Tobacco Co. Ltd. (TLTC) na Tanzania Tobacco Processing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika...
View ArticleMadiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID
Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na...
View ArticleTAMISEMI yatoa mafunzo kwa wakuu wa wilaya wapya
Waziri kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia akizungumza mapema leo katika siku ya kwanza ya mafunzo ya Wakuu wa Wilaya wapya ishirini na saba yanayoendelea katika ukumbi wa hoteli ya...
View ArticleWaziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya...
View ArticlePinda akagua miradi mbalimbali jiji la TOKYO
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya vyakula vya Kitanzania vilivyosindikwa kitalaamu, Afisa Mtendaji Mkuu na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Sumitomo ya...
View ArticleCJ Chande to head panel assessing new information on Hammarskjöld death
Tanzania’s Chief Justice, Mr Mohamed Chande Othman. By OUR Reporter THE United Nations (UN) Secretary-General has appointed Tanzania’s Chief Justice, Mr Mohamed Chande Othman as Head of the...
View ArticleSauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la...
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
View ArticleWorth reading: Most Dangerous Alphabet!
Which is the most dangerous Alphabet Answer — ” W “. It is tension generator.. All the worries get initiated with ‘ w ‘. . Who Why What When Which Whom Where War Wine Whisky Wealth Work Worries Woman...
View ArticleImetosha Movement kufanya matembezi ya hisani Machi 28
Balozi wa Kujitolea wa Harakati za ‘Imetosha Movement’, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya ‘Imetosha Movement’ na...
View Article“Back to School Essay Competition 2015″ is now Open
“Back to School Essay Competition 2015″ that is currently open. For the first time this year, our competition is open to A level students as well. 2015 being the election year in Tanzania, we are...
View ArticleChuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo...
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa...
View ArticleMashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu – NEC
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la...
View ArticleKikosi cha KVZ hakijavamia eneo la wawekezaji
Na Miza Kona na Maryam Kidiko-Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ) hakijavamia eneo la...
View ArticleVijana wa Afrika watembelewa na serikali ya Marekani
Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za nje wa Marekani anaeshuhulikia masuala ya Usalama wa Raia, Demokrasia na haki za Binadam Bi. Sarah Sawell akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) alipofika...
View ArticleMadiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea Mradi Mapinga Satellite wa UTT-PID...
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo. *Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) ilianza kazi zake Julai 1, 2013....
View ArticleKinana mpongeza Mbunge Lekule kwa uamuzi wake wa kutogombea tena
*Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha alia na watendaji wa serikali,asema ndio wanakiumiza chama *Nape awapongeza wana CCM wilaya ya Longido kwa mshikamano na kuipa ushindi CCM kwenye Chaguzi Katibu Mkuu...
View ArticleChama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha...
Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto Rachel Mhavile toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka,...
View ArticleMtoto mdogo wa Kitanzania mwenye IQ kubwa huyu hapa
Na Andrew Chale wa modewji blog Huenda umesikia mengi juu ya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ufahamu hasa wa mambo ama IQ kubwa. Kwa Tanzania mtoto mwenye IQ kubwa kwa ni Mtoto Nice Valentino...
View Article