Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Uzinduzi wa kampuni mpya ya Quality Service and Catering wafana

$
0
0

1

Mhasibu wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering, Bi.Magreth Tairo akizindua kampuni hiyo City Lounge jijini Dar es salaam inayojishugusha na upikaji wa vyakula katika sherehe mbalimbali yenye makao yake makuu Kinondoni Manyanya Dar es Salaam.

2

Wadau walioudhuria katika hafla hiyo wakifuatilia uzinduzi huo.

3

Timu nzima ya waanzilishi na wamiliki wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering wakiwa kwenye picha ya pamoja.

4

Mhasibu wa Kampuni ya Nivaana Quality service and caterin, Bi.Magreth Tairo (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo.

5

Mhasibu wa Kampuni ya Nivaana Quality service and catering, Bi. Magreth Tairo.akiteta jambo na wadau wakati wa hafla hiyo.

6

Kushoto ni Mkurugenzi wa Oasis of Sivana Tz ltd, Alfa Minga akiwa kwenye picha ya pamoja na Magreth Minga ambaye ni mkewe.

7

Timu nzima ya NIVANAA wakiwa kwenye picha ya pamoja na familia yao wakati wa hafla hiyo iliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

8

Wageni waalikwa. Endelea kuangalia picha za tukio hilo.

9 10 11

14

Hii ni moja wapo ya bidhaa zinazotengenezwa na Kampuni ya Nivaana Quality Service and Catering.

12 13

15 16


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles