Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda

$
0
0

PG4A6871

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika  kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora.  Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6869

PG4A6820

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika  katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara  ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.

PG4A6801

PG4A6880

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua moja kati ya mashine tisa za kusukuma  maji katika mradi wa Maji wa Bunda  uliopo kwenye ziwa Victoria katika kijiji cha Nyabihu  wilayani Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles