Picha juu na chini ni Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote, lengo la maandamano hayo yaliyoanzia kwa Mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu, kauli mbiu ni “Nafasi ya Hesabu katika maendeleo ya taifa. (Picha na Ferdinand Shayo).(Picha na Ferdinand Shayo).
↧