Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu

$
0
0

DSCF2342

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC. (Picha zote na Mahmoud Ahmad, Arusha).

DSCF2348

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili  nchini Kenya Richard Lusiambe (wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC.

DSCF2346

Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya  kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles