Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo

$
0
0

DSC_0277

DSC_0338

Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.

DSC_0339

Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO Motors.

DSC_0336

Wageni waalikwa kwenye #MBAR2015 Eleganza Fashion show wakipitia majarida mbalimbali yenye taarifa za magari aina ya Mercedes Benz.

‘Model’ wa kiume, kike watia fora na mavazi ya ubunifu ‘run way’ yabamba ndani ya dakika 20.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Ile shoo maalum ya mwaka iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa hatimaye usiku wa Machi 21 ndani ya Serena Hotel jijini Dar es Salaam, shoo hiyo ‘Mercedes Benz Ally Remtullah 2015 Eleganza’ imeweza kuwa ya aina yake na ya kipekee  kwa kuvutia kila mmoja aliyehudhuria shoo hiyo.

Kama kawaida yake mbunifu wa mavazi, Ally Remtullah amekuwa akifanya vizuri kila mwaka kwenye shoo zake hizo anazoziandaa ambapo kwa shoo ya mwaka huu imezidi kuingia kwenye historia  kwa kuonyesha toleo jipya ‘New collection 2015’.

Miongoni mwa mambo yaliyoweza kubamba katika shoo hiyo ni pamoja na  jukwaa ‘Run way’  kwa Models hao kulitendea haki na na kuonekana tukio la Kimataifa.

Ni dhahiri shoo hiyo kwa kila aliyeshuhudia asilimia 100, ni ya Kimataifa. Ambapo ilichukua ndani ya dakika  20 huku kila Model  akipangilia vilivyo na mavazi maalum hali iliyopelekea kuliteka jukwaa.

Aidha,  kwa upande wake Ally Remtullah alipongeza wadau wote kwa kuendelea kumuunga mkono ambapo aliiambia Modewji blog kuwa baada ya hapo anatarajia kuendelea kufanya maonyesho zaidi ikiwemo ndani na nje ya nchi.

Pia aliwashukuru wadhamini akiwemo mdhamini Mkuu, Kampuni ya CFAO Motors LTD wauzaji wa magari kupitia brand yake ya Mercedes Benz.  Wengine ni  MeTL Group kupitia bidhaa za ki-elekroniki za LG  na wengine wengi.

Fuatana na camera ya modewji blog kwa picha za ‘Cat walk’ ndani ya hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

DSC_0044

DSC_0045

DSC_0048

DSC_0050

DSC_0053

DSC_0057

DSC_0063

DSC_0067

DSC_0070

DSC_0074

DSC_0078

DSC_0081

DSC_0084

DSC_0089

DSC_0092

DSC_0094

DSC_0099

DSC_0101

DSC_0103

DSC_0105

DSC_0007

DSC_0010

DSC_0108

DSC_0111

DSC_0114

DSC_0117

DSC_0121

DSC_0122

DSC_0124

DSC_0128

DSC_0132

DSC_0135

DSC_0141

DSC_0153

DSC_0162

DSC_0168

DSC_0175

DSC_0179

DSC_0181

DSC_0184

DSC_0195

DSC_0199

DSC_0205

DSC_0209

DSC_0213

DSC_0219

DSC_0222

DSC_0228

DSC_0230

DSC_0234

DSC_0236

Hi Mr. Photographer…..Greetings from Abby Plaatjes.

DSC_0009

DSC_0019

DSC_0243

DSC_0247

DSC_0250

DSC_0251

DSC_0253

DSC_0255

DSC_0258

DSC_0260

DSC_0263

DSC_0266

DSC_0267

DSC_0274

DSC_0282

DSC_0291

DSC_0300

DSC_0304

round of applause for Ally Rehmtullah…..

DSC_0305

DSC_0309

Here comes Ally Rehmtullah….. Yeeeeeh.

DSC_0320

DSC_0326

Model tatu tofauti za magari aina ya Mercedes Benz.

DSC_0332

Pichani juu na chini ni baadhi ya wageni waalikwa wakitoka kwenye ukumbi wa Marquee ndani ya hoteli ya Serena mara baada ya kumalizika Fashion show ya #MBAR2015 Eleganza.

DSC_0335


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images