Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

$
0
0

IMG_1226

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

IMG_1247

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda. Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.

IMG_1272

IMG_1287

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Wengine ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Hanifa Masaninga (kushoto). Semina hii imefanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.

IMG_1289


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles