Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish,...
View ArticleBundi atua Chadema Singida, tafrani tupu
Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Singida katika picha. Na Nathaniel Limu, Singida WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida,na hali imechafuka...
View ArticleCSR in Africa Awards: 8 finalists will run for the 1st edition of the awards...
“Getting ready for the European Year for Development 2015” BRUSSELS, Belgium, November 5, 2014/– On Wednesday, 26th November 2014, the EU-Africa Chamber of Commerce (EUACC) will host a gala ceremony...
View ArticleMfuko wa GEPF wapanua wigo kwa kuzindua ofisi mpya nyanda za juu kusini...
Meneja wa kanda ya Nyanda za juu kusini Bw Ramadhan Sosora akitoa neno la ufunguzi na utambulisho kwa wanahabari. Meneja Masoko kutoka Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la kimataifa la mitaji hisa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,...
View ArticleRatiba ya Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge Novemba 4 -28, 2014
parliament_timetable_november_2014(1).pdf by moblog
View ArticleTony Blair, Former Prime Minister of the United Kingdom, to Present a Keynote...
Mining Indaba, the world’s largest mining investment event will take place on 9 – 12 February 2015 in Cape Town, South Africa The organisers of the annual Investing in African Mining Indaba...
View ArticleMwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe...
Mratibu wa mradi wa kudhibiti wanyama wakali kwa kutumia waya na mitii maalumu inayohimili ukame unaofadhiliwa na UNDP Dr. Maurus Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika...
View ArticleTanzania kuendelea kuhifadhi misitu kuisaidia dunia
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akibadilishana mawazo na kushoto ni Mwenyekiti...
View ArticleAnglo American invests R15 million in Chair of Occupational Hygiene at Wits...
Mining continues to play a central role in shaping the social, political, economic and health landscape of South Africa and Africa today, Anglo American (http://www.angloamerican.com) is investing...
View ArticleDANGOTE akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha Saruji Mtwara
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye...
View ArticleAfisa WHO amwonya Rais wa Liberia kuhusu Ebola
Anthony Banbury akiwa kwenye kikao maalum na Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf kwenye Ikulu ya nchini hiyo. Na Mwandishi wetu Afisa wa Umoja wa Mataifa anayehusika na mapambano dhidi ya maradhi...
View ArticleJK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na...
View ArticleUmeme Hai watengewa bil. 1.8/-
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga. Na Mwandishi wetu JUMLA ya sh. bilioni 1.8 zitatumika katika kutekeleza ujenzi wa mradi wa umeme katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro. Naibu...
View ArticleUhamiaji waanza msako wa nyumba kwa nyumba
Na Mwandishi wetu IDARA ya Uhamiaji inaanza msako wa nyumba kwa nyumba kubaini wahamiaji haramu kwa kuchukua taarifa za wanandoa ambao wameolewa na raia wa kigeni ili kubaini wahamiaji hao. Hayo...
View ArticlePinda afungua baraza kuu la vijana Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua semina ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kwenye ukumbi wa CCM White House mjini Dodoma Novemba 7, 2014. (picha na Ofisi ya...
View ArticleMayai mabovu yasambaa Dar !
Na Mwandishi wetu AFYA za wakazi wa jiji la Dar es Salaam ziko hatarini kutokana na kula mayai ya kuku yaliyooza, ambayo yameingizwa kinyemela nchini na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni wawekezaji....
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8,...
View ArticleIndustry Professionals Invited to 1st ever Hospitality Conference in Tanzania
Mkutano wa Kwanza wa Huduma hizo (Hospitality Roundtable) kwa nchi za Afrika Mashariki utawakutanisha wasambazaji wakubwa, wanunuzi, wawekezaji na watoa huduma wengine kwenye sekta hiyo kwa ajili ya...
View ArticleOfisi ya taifa ya takwimu yatoa taarifa za mfumuko wa bei nchini
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumuko wa bei nchini....
View Article