Pinda azindua harambee ya ujenzi wa Kituo cha watoto na vijana-UDSM
Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaa baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na...
View ArticleJumla ya wasichana 6,000 Mkoani Mtwara wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga...
Na Mwandsihi Wetu Zaidi ya jumla ya wasichana 5,784 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja...
View ArticleSerikali yaja na mbinu mpya kukabili makali ya Umeme
Na Mwandishi wetu Serikali imesema inakusudia kuachana na mfumo wa matumizi ya nishati ya umeme wa maji na badala yake itaanza kutumia nishati jadidifu inayozalisha umeme kwa kutumia njia ya gesi...
View ArticleVijana wengi watamani kujiua Uingereza
Na Mwandishi wetu Imeelezwa kuwa idadi ya watoto wanaofikiria kujiua imeongezeka ghafla nchini Uingereza hali inayoonyesha kuwepo ongezeko la asilimia 116 kulinganisha na kesi zilizorekodiwa katika...
View ArticleZanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa Naibu katibu katika kitengo cha...
View ArticleBOA Bank yamwaga zawadi kwa wateja wanaoshiriki kampeni ya ‘weka akiba ushinde’
Meneja Mwanandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa BOA Tanzania, Bw. Solomon Haule akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni yake inayoendelea ya ufunguzi wa akaunti mpya...
View ArticleTamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha wakazi wa Mji wa Moshi
Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye uwanja wa Ushirika Mjini Moshi wakati wa kampeni ya kifurushi cha Tigo welcome pack, Kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata...
View Article6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland
Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa. Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere...
View ArticleMsama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakamata vifaa...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za kurudufu CD feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es...
View ArticleBalozi Sefu atamba CCM kuendelea kutawala
Balozi Seif akiwapongeza Viongozi wa CCM Majimbo,Wadi, na Matawi yaliyomo ndani ya Wilaya ya kati kwa kusimamia vyema ujenzi wa ofisi za chama hicho katika maeneo mbali mbali ya Wilaya hiyo.(Picha na...
View ArticleRais Kikwete afungua mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against...
View ArticleMafunzo ya elimu ya ujasiriamali kwa washiriki wa shindano la mashujaa wa...
Mafunzo ya elimu na ujasiriamali kwa washiriki wa shindano la Mashujaa wa Kesho yanayoratibiwa na kampuni ya Statoil Tanzania, yenye lengo la kumjenga kijana kuwa mjasiriamali yamekamilika hivi...
View ArticleTimu ya Rainer Zietlow wakaribia kuvunja rekodi ya dunia
Dereva kutoka nchini Ujerumani Rainer Zietlow (katikati) akizungumza na wanahabari kuhusiana na rekodi yake ya kusafiri umbali mrefu Duniani mara baada ya kuwasili nchini Tanzania kwenye Ofisi za...
View ArticleArtesunate-Mefloquine Fixed-Dose Combination (ASMQ FDC) Proves Safe and...
Clinical Trial Results Provide Evidence for Introducing This Artemisinin Derivative-based Combination Therapy (ACT) into Africa’s Current Malaria Treatment Arsenal to Help Tackle the Number One...
View ArticleRais Kikwete azungumza na wazee wa mkoa wa Dodoma
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye...
View ArticleUN yapongeza mkakati wa kuelimishana kuhusu SDGs
Katibu Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Abdulhamid Mzee akifungua rasmi warsha ya siku moja ya iliyohusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, kuangalia malengo ya programu ya maendeleo endelevu...
View ArticleRais abadilisha vituo wakuu wa mikoa, wapo wapya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
View ArticleNHIF yapeleka madaktari mkoani Mara, wawafanyia upasuaji wagonjwa mbalimbali
Mwakilishi wa Naibu Mkurugenzi mkuu wa NHIF Bwana Michael Kishiwa (mwenye koti jeusi) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome vifaa tiba, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya...
View ArticleZIFF yatinga DISCOP Africa
Juma Doosa (kushoto) akizungumza na wateja waliofika katika banda hilo. Na mwandishi wetu Tamasha la tisa la DISCOP Africa limefunguliwa leo asubuhi kwa shamrashamra nyingi. Tamasha hilo la DISCOP...
View Article