Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha

$
0
0

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya  Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa AICC  Jijini Arusha. (Picha na OMR).
3
5
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
6
7
4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu za Mahakama ya Kimbari zilizo  katika ukumbi huo wakati akiondoka baada ya kufungua rasmi Mkutano wa  Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR, ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha.

8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo wa maadhimisho ya miaka 20  ya Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014  kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Picha na OMR


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles