Hii ndio barabara iliyokarabatiwa kwa milioni 90 Ukonga Mazizini- Moshi Bar
Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi...
View ArticleJK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Na Mwandishi wetu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara...
View ArticleMsanii wa muziki wa dansi nchini Amigolas amefariki dunia
Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘a.k.a Amigolas (pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa...
View ArticleAzimio la Arusha la kukabili ujangili lapita
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani...
View ArticleSIKIKA yalia na deni la MSD
Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi wetu MKURUGENZI Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, amesema taasisi...
View ArticleSumaye awaasa vijana
Na Mwandishi wetu WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao. Sumaye alitoa kauli...
View ArticleRais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa...
View ArticleWaziri Mkuu ataka vita dhidi ya ujangili iwe ya pamoja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri mara baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki kufunga Mkutano wa kupiga...
View ArticleUNDP wazindua mradi mkubwa wa maji Noondoto na Elang’atadapash
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la wafugaji la Ilkisongo Pastoralists Initiative (IPI) Bw.Mike Olemokoro akiongoza gari ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa...
View ArticleZiara ya Tigo Welcome Pack yatikisa Mkoani Kagera
Msanii wa Bongo fleva Sunday Mjeda maarufu Linex akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa...
View ArticlePinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili...
View ArticleSEMA kutumia Milioni 396/- kuweka sawa mazingira mashuleni Iramba
Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya...
View ArticleKatibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria aripoti ofisini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Maimuna Tarishi ambaye amehamishiwa Wizarani hapo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni akisaini kitabu mara baada ya...
View ArticleTANGAZO: Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya WAMA –...
TANGAZO- NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA WAMA NAKAYAMA NOVEMBER 05 2014.doc by moblog
View ArticleSerikali kuwalinda Wahadzabe – Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...
View ArticleNaibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu...
View ArticleJerry Silaa awasha umeme shule ya msingi Ipililo A wilayani Simiyu
Mlezi wa Mkoa wa Simiyu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi mchango wa shilingi milioni moja kwa Mwalimu Macha mwalimu mkuu wa Shule ya...
View ArticleGemalto survey in Africa : 80% voice interest for mobile marketing if in line...
A new survey conducted in South Africa and Nigeria on consumers’ perceptions of mobile marketing Gemalto (Euronext NL 0000400653 GTO) (http://www.gemalto.com), the world leader in digital security,...
View ArticleKINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo...
View ArticleAfrica’s Regional Network for Youth Policies Experts launched at the First...
Africa made history during the closing session of the just concluded First Global Forum on Youth Policies, held in Baku, Azerbaijan by announcing the birth of African Network of Youth Policy Experts...
View Article