Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo...
View ArticleThe richest people in Africa: Mohammed Dewji named youngest billionaire in...
24. Mohammed Dewji Net Worth: $2 BILLION Industry: Diversified Country of Citizenship: Tanzania Age: 39 Number of Jobs Created: 16,800 Mohammed Dewji has seen his net worth rise considerably over the...
View ArticleRais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, jana, Jumatano, Novemba 12, 2014, anatarajiwa kutoka wodini katika...
View ArticleNovartis and Malaria No More help fulfill malaria treatment goal in Zambia by...
-Power of One campaign, supported by exclusive treatment sponsor Novartis, raises funds for three million treatments for children with malaria -Novartis associates rallied behind Power of One to fund...
View ArticleThe U.S. and China Just Announced Important New Actions to Reduce Carbon...
Today in Beijing, President Obama and Chinese President Xi Jinping made history by jointly announcing the United States’ and China’s respective targets for reducing the greenhouse gas emissions...
View ArticleSerikali, UN, vyombo vya habari kutoa elimu dhidi ya Ebola
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa...
View ArticleCall to civil society organizations to apply for funding
Call for proposals UNDEF 2014.pdf by moblog
View ArticleFifth Annual Global Entrepreneurship Summit will be hosted by the Kingdom of...
Over 3000 entrepreneurs, Heads of state, government officials, global entrepreneurs, small medium enterprises (SMEs), corporate leaders, and young entrepreneurs The fifth annual Global...
View ArticlePinda aagana na Mwakilishi mkazi wa UNIDO nchini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014. (Picha na Ofisi...
View ArticleWananchi wahimizwa kujitokeza kupima ugonjwa wa Kisukari
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Stephen Kebwe. Na Beatrice Lyimo- Maelezo Serikali imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake mara kwa mara...
View ArticleUnesco, Samsung kujenga kijiji cha digitali Ololosokwan
Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues na Mkurugenzi wa Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika ofisi za...
View ArticleTigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za...
Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya...
View ArticleKuelekea 2030 serikali nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara zitang’olewa
Na Nova Kambota, Dar es salaam, Tanzania Habari kubwa hivi sasa barani Afrika ni mapinduzi ya umma yaliyofanyika Burkinafaso, makala haya ni mtazamo wangu kuhusu kitakachojiri kusini mwa jangwa la...
View ArticleDC Igunga ajivunia mapato ya CHF, NHIF
Waziri wa afya na ustawi wa jamii,Dk.Seif Rashidi akifungua kongamano la tisa la baadhi ya waandishi wa habari lililoandaliwa na kufadhiliwa na mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) lililofanyika kwenye ukumbi...
View ArticleMkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) afanya ziara kwenye vitengo vya...
Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene wakati...
View ArticlePinda afungua mkutano wa afya Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014....
View ArticleKinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman...
View ArticleRais Kikwete atoka Hospitalini baada ya kupata nafuu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa tezi dume mwishoni mwa wiki...
View ArticleMiss Tanzania 2013 aahidi makubwa mashindano ya urembo ya dunia
Mkurugenzi wa Lino International Agency Limited, Bw. Hashim Lundenga (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari ya Mrembo wa Tanzania wa mwaka 2013 kuelekea katika...
View ArticleJerry Silaa azoa wanachama wapya wa CCM 323 wilayani Bariadi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Jerry Silaa katika siku ya nane ya ziara yake jana amezoa wanachama wapya 323 kwenye kitongoji cha Imalilo kata ya Bunamhala wilayani Bariadi.
View Article