$ 0 0 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Jerry Silaa katika siku ya nane ya ziara yake jana amezoa wanachama wapya 323 kwenye kitongoji cha Imalilo kata ya Bunamhala wilayani Bariadi.