MO among TOP 3 in a list of 100 Africa’s Young Business Leaders
CEO of MeTL GROUP, Mohammed Dewji. African Business Magazine.pdf by moblog
View ArticleSekta binafsi ihusishwe kutoa huduma za afya – Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014....
View ArticleVIDEO: Rais Kikwete akitoka hospitali ya Johns Hopkins baada ya kuapata nafuu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji...
View ArticleWanafunzi bora CBE wapata tuzo
Na. Aron Msigwa – MAELEZO Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam kimetoa tuzo kwa wanafunzi bora 12 waliohitimu na kufanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ikiwa ni...
View ArticleWana CCM Beijing wakutana
Wanachama wapya wa Tawi la CCM China waliopo Beijing wakikabidhiwa kadi na Mwenyekiti wa Tawi Ndugu Boniphace Shija Nobeji. Kada na Mtumishi wa CCM Makao Makuu Ndugu Suleiman Serera akitoa semina...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na wahariri wa vyombo vya habari kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar...
View ArticleMahafali ya 49 CBE yafana, Serikali yatoa angalizo kwa makampuni yanayoajiri...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa...
View ArticleKinana aanza ziara yake mkoani Lindi, apata mapokezi mazuri Somanga Kilwa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya...
View ArticleViongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa...
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM. Na MatukiodaimaBlog VIONGOZI watatu wa...
View ArticleJaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns...
View ArticleMuseveni urges African countries to promote tourist attractions
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (left) discussing a point with Permanent Representative of the African Union Mission to the USA, Ambassador Amina Salum Ali during the...
View ArticleKampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4...
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace,...
View ArticleSiku ya Mtoto Njiti Duniani: Huduma za gharama nafuu zenye ufanisi katika...
World Prematurity Day press release – SWA FINAL Nov 17 2014.docx by moblog
View ArticleMatukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda kutoka Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa kauli kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto , Bungeni mjini Dodoma Novembe 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
View ArticleDkt. Adelhelm James Meru aapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Dkt. Adelhelm Meru (kulia)...
View ArticleWatanzania washauri kufuata mfano wa kliniki za Kisukari
Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushilikiana na Shirika la kisukari kimataifa la International Diabetes Federation (IDF) walianzisha Siku ya Kisukari Duniani mnamo mwaka 1991 ili kuadhimisha...
View ArticleKinana aunguruma jimbo la Mchinga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika Kitomanga Mkwajuni jimboni hapo wilaya ya Lindi...
View ArticleUnity of Women Friends (UWF) wamkumbuka aliyekuwa mshindi wa shindano la...
Picha ya pamoja, Baadhi ya wana kikundi cha UWF, mwakilishi kutoka Tanzania Women Bank (TWB), Bi Khadija na Baadhi ya washindi wa mradi huo wa Mwanamakuka tangu mwaka 2012 wakiwa katika picha pamoja....
View ArticleMoto mkubwa wateketeza soko la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kama Mt.Meru...
SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET limetea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanyabiashara zililopo katika soko hilo Mkuu wa...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amaliza ziara yake jimbo la Mtama
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha...
View Article