![D92A3585]()
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake.