Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu mkuu kiongozi apata nakala ya kitabu cha nyayo za Obama

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingereza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka

Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini. Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Pinda ahitimisha ziara yake mkoani Kagera

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya Kihaya kabla ya kuondoka kwenye uwanja  wa ndege wa Bukoba Oktoba 5, 2014 ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya walimu duniani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafali ya 36 ya NBAA yafana

Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Brela yatoa siku 90 kwa makampuni

Na Mwandishi wetu WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa makampuni kuwasilisha taarifa zao za mwaka za mahesabu zilizokaguliwa na Mhasibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Menejimenti ya Benki ya NBC Ikulu Dar leo

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu  (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tafrija ya Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani yafana

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuri Sir Andy Chande katika tafrija ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Makazi Duniani

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa, Yahya Charahani. Katika ujumbe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FURSA za ajira kutoka MeTL GROUP

Advocates vacancy Internet.pdf by moblog Jnr Sales – Swahili.pdf by moblog Snr Sales.pdf by moblog Technical Psns.pdf by moblog

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba iliyopendekezwa kukabidhiwa oktoba 08, 2014 katika uwanja wa Jamhuri...

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO yaahidi kuviendeleza vyombo vya habari jamii kukuza Demokrasia

 Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana apewa heshima ya Uchifu wa Kihehe Mkwawa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sophia Nyagasha aadhimisha siku yake ya kuzaliwa Jijini Dar

Mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa Oktoba 4, 2014 kwa mwanadada Sophia Nyagasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

If this does not make your day, nothing will..!

Two little boys, Tom and Danny, are excessively mischievous. They are always getting into trouble and their Mom knows if any mischief occurs in their town, the two boys are probably involved. The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinana atinga Isimani Iringa awataka viongozi wasikwepe majukumu yao ya...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FNB yakabidhi madarasa baada ya ukarabati shule ya msingi Msasani B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto)  akikata utepe  kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi  Msasani  B,  Bw.Victor  Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mdee apelekwa Rumande

Mwenyekiti wa Baraza la wanawake Chadema Halima mdee akiongoza maandamano kwenda Ikulu mapema mwishoni mwa juma. (Picha na Maktaba). Na Mwandishi wetu Mbunge wa Kawe, na wenzake jana  walirejeshwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete asifu juhudi za NSSF kuwezesha mradi wa daraja la Kigamboni na...

Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi wa daraja la Kigamboni inayofadhiliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), pamoja na kuweka jiwe la msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba inayopendekezwa yaombewa dua njema

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia wakati wa dua ya kuiombea Katiba mpya inayopendekezwa. Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma. DUA ya shukurani ya kuiombea Katiba mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanasheria wa Zanzibar afukuzwa kazi

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe. Pandu Ameir Kificho, (Kulia) na Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman (mwenye suti ya kijivu), wakitokea mlango  wa nyuma wa jengo la bunge...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live