Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

FNB yakabidhi madarasa baada ya ukarabati shule ya msingi Msasani B

$
0
0

IMG_8488fnb

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto)  akikata utepe  kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi  Msasani  B,  Bw.Victor  Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati  pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule  hivi karibuni jijini Dar as Salaam.

IMG_8950fnb

Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi  Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

IMG_8971fnb

Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya FNB Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani B wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa,  madawati na mikoba ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles