Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la Nyumba la Taifa lafanya mkutano na wadau wa mabenki Dar

Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC: Theluthi mbili Zanzibar utata

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba. Na Mwandishi wetu MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais aiwakilisha Tanzania katika kongamano la pili la kimataifa la...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu  na Jumuiya ya Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shigongo azindua vitabu vyake vipya Marekani

Vitabu viwili vya Eric Shigongo alivyozindua nchini Marekani juzi. Eric Shigongo akihojiwa na Shaka Ssali (kulia) katika kipindi cha Straight Talk Africa kabla ya uzinduzi huo. MKURUGENZI Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chawashukuru watanzania kwa kuchangia matibabu

Pichani ni Zuhura Matata mgonjwa mwenye uhitaji wa upasuaji  utakaofanyika nchini India. Kipindi cha “Mimi na Tanzania” kinachoongozwa na mrembo aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Semina ya Fursa 2014 yafanyika Mjini Singida

 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa,Jitathimini,Jiamini,Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani ya moja ya ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.Semina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOblog Team wishes you Eid-ul-Adha Mubarak!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanalibeneke Edwin Moshi ndani ya Radio Wüste Welle Ujerumani

Redio Wüste Welle ni kituo cha redio ya kijamii kilichopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Kikwete kuleta mabadiliko!

ZIARA ndefu ya Rais Jakaya Kikwete nchini Marekani huenda ikaibuka na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri au Taasisi nyeti za serikali. Rais Kikwete aliondoka wiki iliyopita kwa ziara ya wiki mbili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia taswira mbalimbali za sala ya Eid Al-Adhw-Haa 2014 Ughaibuni

Waumini wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika ibada ya Hija huko Maka nchini Saudi Arabia....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa...

Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahitimu wa CBE nyanda za juu kusini waadhimisha miaka 50 ya chuo hicho...

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DICOTA 2014 Convention Gala Dinner yafana, wadhamini, wadau Diaspora wapata...

 Msanii wa vichekesho Masanja Mkandamizaji akisalimia wadau kwa kuwavunja mbavu kwenye DICOTA 2014 Gala Dinner iliyofanyika Ijumaa usiku Oct 3, 2014 katika Hotel ya Millennium Durham, North Carolina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Worth reading: Interesting Statistics!

The world’s hottest place: Death Valley National Park The highest air temperature ever recorded on Earth was 134 degrees Fahrenheit, at Death Valley National Park on July 10, 1913. The world’s coldest...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWPG wajivunia manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba...

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki akitoa mada wakati wa mkutano wa Umoja wa Wabunge Wanawake  kuhusu maandiko ya kisera na manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda ahutubia sherehe za siku ya walimu Mjini Bukoba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza  (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

One-Liners !!! Follow at your own risk ….

  [1] Regular naps prevent old age, especially if you take them while driving. [2] Having one child makes you a parent; having two you are a referee. [3] Marriage is a relationship in which one person...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Philips inaugurates Africa’s first Community Life Center aimed at...

The Philips Community Life Center provides crucial access to health care and services through an innovative community hub Royal Philips (AEX: PHIA, NYSE: PHG) (http://www.philips.com) has opened its...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania msichague Mafisadi – Kasesela

 Na Mwandishi wetu WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu, katika chaguzi zijazo. Kauli hiyo, ilitolewa na...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live