Mahakama yaiamuru SCBHK, TANESCO kutokuwabugudhi wamiliki wa IPTL
Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania ikizuia...
View ArticleYahsat Offers Satellite Broadband Internet Service “Yahclick” Promotion for 2...
YahClick offers free modem, free YahClick dish and reduced installation charges via Infinity and Simbanet Al Yah Satellite Communications Company, Yahsat (http://www.yahsat.ae), the Abu Dhabi based...
View ArticleBanda la Bodi ya Utalii Afrika Kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili...
Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili...
View ArticleUrambo kuandamana kumpinga Sitta
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta. Na Mwandishi wetu WAKAZI wa Urambo Mashariki wanatarajia kufanya maandamano yasiyokuwa na kikomo kupinga Rais Jakaya Kikwete asije kuingizwa kwenye...
View ArticleMatokeo rasmi ya kura za kupitisha rasimu ya Katiba Bunge Maalum mjini Dodoma
Idadi ya Wabunge ni 219 Waliopiga kura154 Wasiopiga Kura 65 Akidi inayotakiwa kura 146 Kura za NDIYO 147 Kura za HAPANA 7 TANGANYIKA Idadi ya Wabunge 411 Waliopiga kura 335 Wasiopiga Kura 76 Akidi...
View ArticleCUF yapongeza kura za hapana
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara Magdalena Sakaya. Na Mwandishi wetu CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimewapongeza Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Chama cha...
View ArticleEric Shigongo speaks on VOA’S Straight Talk Africa
According to the Tanzanian Proverb, “A wise person will always find a way”… and so did our Straight Talk Africa Studio Guest! Tanzanian icon Eric James Shigongo, Author, Motivator, and Founder &...
View ArticleBunge Maalum la Katiba lavunjwa rasmi leo mjini Dodoma
Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia alikuwa ni mjumbe wa Buge Maalum la Katiba, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa...
View ArticleKampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
Meneja wa Kampeni haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akifungua mdahalo huo na mafunzo juu ya kujenga hoja ya upatikanaji wa chakula na haki ya chakula, kufuatilia upatikanaji wa haki kwenye...
View ArticleRais Kikwete afungua maonyesho ya kimataifa ya utalii Jijini Dar leo
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii “Swahili International Tourism Expo (SITE)” kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo...
View ArticleNamuogopa Abdulrahman Kinana – Absalom Kibanda
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakiendelea na safari pamoja na wananchi kwenye ziara ya kukagua miradi mbalimbali mkoani Tanga. Na Absalom Kibanda Kwa mara nyingine tena,...
View ArticleUzalendo kwanza: Piga kura uboreshe maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi
Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchini...
View ArticleBoosting Shared Prosperity is Key to Tackling Inequality, says World Bank...
“For the first time in the history of the World Bank Group, we have set a goal that aims to reduce global inequality.” — World Bank Group President Kim World Bank Group President Jim Yong Kim today...
View ArticleSkylight Band yakwea pipa kutumbuiza Oman, yawaomba radhi mashabiki wake Dar
Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku...
View ArticleWafanyakazi wa UNFPA, TUSHIKAME Pamoja Foundation na Projeckt Inspire...
Daktari kijana Brian Mushi wa Projeckt Inspire akionyesha upendo kwa mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kilichopo Msimbazi Centre mara baada ya kumpima Presha wakati wa maadhimisho ya siku ya...
View ArticleDICOTA 2014 Convetion Durham, North Carolina
Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya...
View ArticleMahakama yazuia kufanyika kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ jumamosi hii, limekiuka...
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imezuia kufanyika kwa tamasha lililopewa jina ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii. Uamuzi wa mahakama hiyo...
View ArticleKatiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu – Mizengo Pinda
Na Mwandishi wetu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao. Akizungumza Bungeni baada ya...
View ArticleSekta za kilimo, viwanda na biashara zakuza pato la taifa kwa asilimia 6.9.
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko jana jijini Dar es salaam....
View Article