Msajili wa vyama vya siasa kutumia redio jamii kuelimisha umma
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiutambulisha ujumbe wa wageni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini kwa Wenyeviti wa...
View ArticleHafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund...
Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza...
View ArticleApollo yaunga mkono vita dhidi ya magonjwa ya moyo
Magonjwa ya moyo ni miongoni ya magonjwa duniani yanayosababisha vifo vya watu milioni 17.3 kulingana na takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa tarehe 29 Septemba...
View ArticleOUTERNET – Using Internet Without Paying Anything!
Now this would be fantastic. You’ll be able to get your e-mails anywhere & everywhere! A dream about to come true OUTERNET Forget the Internet – soon there will be the OUTERNET: Company plans to...
View ArticleMISA-TAN yaadhimisha siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa na kutoa...
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari...
View ArticleTigo yadhamini Mabaharia watoto 10 kuwakilisha Tanzania Mashindano ya...
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo safari ya timu ya Taifa ya watoto waendesha mitumbwi...
View ArticleMfumo Dume na Mawazo Mgando: Kikwazo ushiriki wa Mwanamke katika Uongozi
Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio, Nuru Kalufya akisimamia usajili wa washiriki wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika Habari za Migogoro yaliyoanza katika kijiji cha Uvinza, wilaya ya Uvinza...
View ArticleJET yahamasisha waandishi kuripoti habari za mazingira
Katibu mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Mazingira Tanzania (JET) John Chikomo, akitoa taarifa yake ya utendaji pamoja na fedha mbele ya mkutano mkuu wa mwaka 2013 wa chama hicho. Mkutano...
View ArticleMwinjilisti auawa akifanya maombi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi. Na Mwandishi wetu MWINJILISTI wa Kanisa la Baptist, lililopo halmshauri ya Busokelo wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Ambumbulwisye Mwasomola (35), ameuawa...
View ArticleNGO’s yaendesha mahakama ya wazi
Jenerali Ulimwengu ambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam...
View ArticleProfesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya...
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme...
View ArticleMicrosoft launches Mobile Mathematics in Tanzania
East Africa Communications Manager, Mobile Devices, Microsoft Lilian Nganda. Microsoft, in partnership with the Ministry of Communications, Science, Technology and Tigo Tanzania, have officially...
View ArticleYaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar...
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa. Mjumbe wa...
View ArticleRais Kikwete afungua rasmi Barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya...
View ArticleMaonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha
Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF)...
View ArticleImportant Information About Vitamin D!
Vitamin D prevents osteoporosis, depression, prostate cancer, breast cancer,and even effects diabetes and obesity. Vitamin D is perhaps the single most underrated nutrient in the world of nutrition....
View ArticleWashiriki Shindano la mashujaa wa kesho waanza kurejesha fomu
Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho. Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho wakipitia fomu zao. Na Mwandishi Wetu ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya...
View ArticleRais amteua Bw. Mwaseba kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lusekelo Mwaseba (pichani) kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Taarifa iliyotolewa...
View ArticleMajaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya...
Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa...
View ArticleUzinduzi wa redio jamii Uvinza: Mkuu wa Mkoa ahimiza weledi, uadilifu na amani
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na...
View Article