Philips pledges support to the United Nations initiative Every Woman Every Child
Philips showcases Respiratory Rate Monitor. -Philips to target sub-Saharan Africa and South East Asia where high maternal and infant mortality can be addressed through early diagnosis, proper...
View ArticleUsajili wa mbio za Rock City wazinduliwa Mwanza
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akionyesha fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26 baada ya kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano ya Rock City...
View ArticleMtandao wa wanawake na katiba wawapongeza wajumbe wa Bunge la Katiba!
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian...
View ArticleMahakama kuu: Bunge Maalumu la Katiba lizingatie rasimu
Na Mwandishi wetu Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna...
View ArticleWarembo Miss Tanzania 2014 watembelea makao makuu ya EAC, AICC na AUWSA
Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, John Mongela akisalimiana na Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha leo. Warembo hao Septemba 27...
View ArticleMradi wa TBA wa ujenzi wa nyumba 10,000 za watumishi wa umma washika kasi
Jengo la gorofa 8 lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 lililojengwa na wakala wa Majengo Tanazania (TBA) Katika eneo la Ada Estate Kinondoni Jijini Dar es salaam ambalo litapangishwa kwa...
View ArticleShuhuda Albino ataka wauaji wanyongwe hadharani
Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za...
View ArticleKinana ashiriki kazi za kijamii mjini Korogwe
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la Mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge. Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge Katibu wa NEC...
View ArticleChombo chochote kitakachokiuka maadili ya habari kukiona chamoto
Naibu waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akitoa hutuba yake kwenye uzinduzi wa Nembo ya radio Triple A FM na kuwataka wamiliki na wanahabari kuhakikisha wanafuata maadili ya taaluma ya...
View ArticleWachungaji watatu 3 jijini Arusha wanashikiliwa na polisi kwa kulawiti watoto...
Kamanda wa Polisi Arusha, Liberatus Sabas. Na Mwandishi wetu WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua kivuko cha MV Tegemeo kufanya safari za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,...
View ArticleTunataka watanzania wajiajiri- Wassira
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira (pichani), amesema serikali inaandaa sera ya elimu itakayomwezesha mtanzania kujiajiri. Alisema kuboreshwa kwa sera...
View ArticleWananchi wenye hasira wateketeza kaya nne Chato
Nyumba ya mfanyabiashara Shabani Ramadhani ikiteketea kwa moto. Na Alphonce Kabilondo (TRJA) WANANCHI wenye hasira kali katika kijiji cha Beda Kinsabe kata ya Iparamasa Wilayani Chato...
View ArticleThe Crazy Queues for the iPhone 6 Worldwide (12 pics)
People go to great lengths to ensure that they are first inline to purchase the latest iPhone when it goes on sale.
View ArticleWinners of Media Awards on Electrical Counterfeiting in Africa Receive Awards...
A special ceremony held in Grenoble (France) in the presence of Mrs Tracy Garner, Global Anti-counterfeiting Manager at Schneider Electric Winners of the first Media Awards on Electrical...
View ArticleKinana akagua miradi mbalimbali Korogwe vijijini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu...
View ArticleWorld Bank Group to Nearly Double Funding in Ebola Crisis to $400 Million
World Bank Group President Jim Yong Kim. Significant new assistance planned for hardest-hit countries Following alarming evidence of the spread of the Ebola epidemic in West Africa, the World Bank...
View ArticleAfrica : Top 100 of young economic leaders- MO makes it in the top 3
Chief Executive Officer, MeTL Group, Hon. Mohammed Dewji. CP-VA by moblog Choiseul 100 Africa VA BD by moblog
View ArticleSW: Can Earlobe Creases Be a Sign of Heart Disease?
Could that small vertical mark on your ear have something to do with heart disease? Here is a simple test that could protect you from serious damage to your health. In 1973, a doctor named Sanders T....
View ArticleJamii yaaswa kuchangia maendeleo ya elimu
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza wakati wa hafla ya kuwakaribisha waliokuwa wanafunzi wa chuo hicho waliohitimu miaka iliyopita wakati wa...
View Article