Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mwanalibeneke Edwin Moshi ndani ya Radio Wüste Welle Ujerumani

$
0
0

cwp photography :: www.wohlwill.de

Redio Wüste Welle ni kituo cha redio ya kijamii kilichopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali vinavyohusiana na taaluma ya uandishi wa habari. Mdau Edwin Moshi alikuwa ni mmoja wapo kati ya waliopata hiyo fursa ya kutembelea kituo hicho cha redio.
Mbali na shughuli zake za utangazaji wa redio pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa EDDY BLOG
cwp photography :: www.wohlwill.de
cwp photography :: www.wohlwill.de

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles