Watanzania watakiwa kuacha ngono zembe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya Virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean Bwanakunu (kulia).(Picha na Maktaba). Na Mwandishi wetu Watanzania...
View ArticleMaendeleo hayana chama – asema Magufuli
Waziri Wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt.John MagufuliaAkifurahia na wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika kata ya Kasenga katika Jimbo la Chato...
View ArticleHon. Membe attends SADC/ICGLR Ministerial meeting in Luanda, Angola
Hon. Bernard K. Membe, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation giving country’s position during the joint SADC/ICGLR Ministerial Meeting held in Luanda, Angola July 2, 2014. The...
View ArticleHarvard Club of Washington watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Mkurugenzi Mtendaji wa Harvard Club Of Washington, Bi. Caren A. Pauley akiutambulisha umoja wa wanafunzi waliowahi soma Chuo Kikuu cha Harvard waishio Washinton Metro Area kwa Balozi wa Tanzania...
View ArticleJaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba
Jaji mstaafu Mark Bomani. Na Mwandishi wetu Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi...
View ArticleJanuary Makamba atangaza kugombea Urais 2015.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba. *Nape asema hakufanya makosa Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia...
View ArticleDhamira yetu ni kukidhi mahitaji ya wateja ya kibenki na ya kifedha
Pichani ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya maonyesho ya biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl .Julius Nyerere jijini Dar, Bi. Upendo Tendewa akifafanua zaidi huduma...
View ArticleVERY FUNNY: Classes before birth
When our second child was on the way, my wife and I attended a pre-birth class aimed at couples who had already had at least one child. The instructor raised the issue of breaking the news to the...
View ArticleRais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi azindua msikiti wa Masjidil Huda Chamazi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil...
View ArticleCheka mbaroni, amtwanga mtu baa
Bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ akiwa amebebwa na mashabiki wake.(Picha na Maktaba). Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa...
View ArticleWaziri Chikawe aitaka NEC kutoingilia majukumu ya kazi za NIDA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akifunga mkutano wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) uliofanyika ndani ya hoteli ya Snowcrest jiji Arusha. Washiriki...
View ArticleTACAIDS yakiri kupungua kwa maambukizi ya UKIMWI nchini
Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS Bw. Godlease Malisa akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika banda la TACAIDS kwenye viwanja vya...
View ArticleTanzania to lose up to $1b under StatOil PSA: Open these Oil and Gas Contracts
Zitto Kabwe, MP When news of the leaked Production Sharing Agreement (PSA) between Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and Norweigean State Company StatOil came out through social...
View ArticleMakinda, Lukuvi, Lissu uso kwa uso sabasaba
Waheshimiwa, William Lukuvi (kulia), Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakibadilishana mawazo , Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Maktaba). Na Mwandishi wetu SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, Kesho...
View ArticleRais Jakaya Kikwete atembelea maonyesho ya TANTRADE jijini Dar
Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es...
View ArticleViongozi waipongeza kampuni ya TTCL Maonesho ya Sabasaba
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Banda la TTCL katika maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Kibiashara katika viwanja vya Sabasaba. Mama Salma katika mazungumzo...
View ArticleHospitali ya Mount Meru Arusha yapigwa jeki na Benki ya KCB Tanzania
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha baada ya kupokea msaada wa kitanda maalumu...
View ArticleJerry Slaa kukabidhi zawadi kwa wateja wa banda la MeTL Sabasaba
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa. Na Mwandishi Wetu WATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea...
View ArticleRais Dr. Jakaya Kikwete afurahishwa na miradi ya Shirika la Nyumba (NHC)
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo,...
View ArticlePPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar
Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja...
View Article