Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Waziri Chikawe aitaka NEC kutoingilia majukumu ya kazi za NIDA

$
0
0

DSC_0872

Waziri wa Mambo ya Ndani ya  nchi Mh. Mathias Chikawe akifunga mkutano wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  uliofanyika ndani ya hoteli ya Snowcrest jiji Arusha.

DSC_0864

Washiriki  katika mkutano wa Wafanyakazi wa  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hoteli ya Snowcrest.

DSC_0854

DSC_0861

DSC_0882

Waziri Chikawe anapena mkono na Mkurugenzi wa NIDA Dickson Maimu mara baada ya kutoa  risala ya kufunga mkutano huo.

DSC_0848

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) , Dickson Maimu akitoa shukurani kwa Waziri kwa kuja kufunga mkutano  wao.

IMG_20140703_072958

Washiriki  katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nchi Mathias Chikawe nje ya jengo la hoteli ya Snowcrest sehemu ambayo mkutano ulikuwa unafanyika.

IMG_20140703_073130

Washiriki wakipongezana mara baada ya Waziri Chikawe kufungua mkutano huo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles