Tangazo la Msiba
FAMILIA YA GEORGE JOHNSON MPONDELA INATANGAZA KUWA MSIBA WA MZEE WAO MPENDWA GEORGE JOHNSON MPONDELA ALIYEFARIKI JUZI TAREHE 15/6/2014 KWA UGONJWA WA MOYO KATIKA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI UTAKUWA...
View ArticleThe Flag-Off at Machame For Kilimanjaro Challenge 2014
The Minister for Tourism and Natural Resources, Hon. Lazaro Samuel Nyalandu with the two children from Moyo wa Huruma Orphanage Centre who will join other climbers locally and internationally for the...
View ArticleUN kuzindua mfumo mpya wa kuhabarisha umma ndani ya tamasha la ZIFF 2014...
Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa...
View ArticleHakikisheni tunakuwa na chakula cha kutosha Dkt. Bilal awaambia G77+China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China, uliofanyika jijini Santa Cruz, Bolivia...
View ArticleUNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion...
Hai District Launches One Stop Center to Address Violence against Women and Children UNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion Violence against Children To mark the...
View ArticleWaziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora...
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. Hussein Makame-MAELEZO WAZIRI wa Nchi Ofisi...
View ArticleMgombea urais wa DMV Ndg. Liberatus Mwang’ombe alivyotembelea hospitali Tanzania
Liberatus believes “CHARITY STARTS AT HOME” Katika muendelezo wa kusaidia nyumbani kama imani yangu ya kimsingi; ninaamini kuwa, “binadamu tulizaliwa tushirikiane na tusaidiane kutatua matatizo na sio...
View ArticleDC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio...
Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika...
View ArticleUDA yasisitiza nia yake ya kuboresha usafiri Dar Es Salaam
Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simon Group Limited imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa...
View ArticleZiara ya NHC na wakurugenzi wa Bodi Singapore
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing...
View ArticleOnyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo
Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi kujaza fomu feki kama njia ya kupata ajira katika...
View ArticleMO akutana na mshindi wa tuzo ya nobeli Muhammad Yunus
Mjasiriamali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) akutana uso kwa uso na mshindi wa tuzo za Nobel Muhammad Yunus akiwa safarini nchini Marekani, baada ya ku-tweet kupitia...
View ArticleGeoPoll Releases Unprecedented Findings on World Cup Television Audiences in...
GeoPoll (http://research.geopoll.com), the world’s largest real-time mobile survey platform, today released initial findings on TV ratings, audience size and demographics following the first games of...
View ArticleVijana Babati wapata mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Vijana
Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga akisalimiana na Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omari M. Mkombole alipomtembelea...
View ArticleTumetoka Mbali: Wazo La ‘Mjengwablog’ Lilizaliwa Kwenye Mazungumzo Haya Na...
Ndugu zangu, Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam. Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya...
View ArticleTBL yapata tuzo ya utunzaji wa mazingira nchini
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa...
View ArticleWashindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa
Washindi wa bahatinasibu ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,Issa Rashid (wapili kushoto) na Michael Msumba (wapili kulia) wakipokea zawazi zao kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Mult Choice ( Dstv ) Barbara...
View ArticleWamiliki wa hoteli wahimizwa kukuza utalii Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara maalum ya kukitembelea Kisiwa cha Bawe kilichopo Magharibi ya Mji wa Zanzibar kuona shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii....
View ArticleUfisadi, madawa ya kulevya na mauaji ya tembo vimewafanya waandishi kuacha...
Katibu Mtendaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Henry Muhanika akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakati wa kufunga mafunzo hayo ya siku pili mwishoni...
View ArticleMaonesho ya wajasiriamali kufanyika Kigali Novemba
Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni , jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya wajasiriamali wa sekta isiyo...
View Article