Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

TBL yapata tuzo ya utunzaji wa mazingira nchini

$
0
0

DSC_3085

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika hivi karibuni kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

DSC_3100

Dorris Malulu akifurahia TBL kupata tuzo ya utunzaji mazingira nchini.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles