![BqUkXt-IYAALH2w]()
Mjasiriamali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) akutana uso kwa uso na mshindi wa tuzo za Nobel Muhammad Yunus akiwa safarini nchini Marekani, baada ya ku-tweet kupitia akaunti yake ya Twitter kama inavyosemeka hapo chini.
Unaweza kum-follow @moodewji
![mo nobel prize winner]()