Like MeTL Facebook Page.
Follow this link https://www.facebook.com/pages/Mohammed-Enterprises-Tanzania-Limited-METL/238066922989601?ref=hl
View ArticleWorkshop Participants announced at Ziff 2013.
ZIFF today announced a list of all selected participants to the 3 main Workshops on film to be held during ZIFF 2013. We congratulate the selected participants and further information will be...
View ArticleKikosi maalum cha kupambana na Ujangili TANAPA chahitimu mafunzo Ruaha...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi akikagua gwaride la kikosi maalum cha kupambana na ujangili katika hifadhi za taifa wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria mkutano wa G8 – London.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amealikwa kuiwakilisha Tanzania na Afrika katika...
View ArticleWazee wa Ilaria waiombea CCM ushindi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wanachama wa CCM kata ya Elerai mara tu baada ya kuwasili kwenye kata hiyo. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishana jambo na mmoja...
View ArticleTaarifa ya Michango kwa ajili ya kusafirisha mwili wa marehemu Jerome Mpefo.
Kufuatia kifo cha ndugu yetu, JEROME MPEFO, kilichotokea juzi tarehe 12, June,2013-,Houston, Texas, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mizishi inafanyika. Tunawaomba...
View ArticleMkuu wa usalama wa Rais wa Pakistan auawa katika shambulio la kujitoa mhanga.
Pichani ni gari lililohusishwa na shambulio la kujitoa muhanga alilokuwa amepanda Mkuu wa usalama wa rais wa Pakistan Asif Ali Zardari. Mkuu wa usalama wa rais wa Pakistan Asif Ali Zardari ameuawa....
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano wa Mabunge wa Kujadili Sera za...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa Mabunge wa kujadili Sera za Misitu Barani AFrika, uliofanyika Julai 9, 2013...
View ArticleRais wa Nigeria akutana na rais Jinping wa China katika mazungumzo ya...
Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria amekutana na rais Xi Jinping wa China mjini Beijing, katika ziara yake inayolenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Rais Jonathan ambaye...
View ArticleMstahiki Meya wa Jiji la Mwanza na wa Manispaa ya Ilala wala futari ya pamoja...
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya...
View ArticleAustralian police find 5.7m python in Queensland charity shop.
A 5.7m (19ft) python has been seized after it fell from the ceiling of a charity shop in Australia. The python, weighing 17kg (37lbs), was recovered...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda atembelea shamba la Philemon Luhanjo na kuweka jiwe la...
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai...
View ArticleWarren Buffett donates about $2.6 billion to Gates Foundation along with...
Warren Buffett, the multi billionaire, is known for his kind-heartedness in giving away huge amounts to charities, a major part of it going to the Gates Foundation. The investment guru has also been...
View ArticleShughuli mbalimbali za Rais Kikwete Ikulu Jijini Dar leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam. Rais...
View ArticlePresident Goodluck Jonathan eases the way for Chinese investment in Nigeria.
Elumelu calls for China-Africa engagement to be led by the African private sector African business leader and philanthropist Tony O. Elumelu (http://www.heirsholdings.com) joins President Goodluck...
View ArticleTangazo la Msiba wa Humphrey George Lupenza-Mume wa Leah Samike.
Mpiga picha na Mhazini wa Cha Wapiga picha za Habari Tanzania (PPAT) , LEAH SAMIKE anawatangazia kifo cha mume wake Bwana HUMPHREY GEORGE LUPENZA aliyekuwa Mkurugenzi Mtedaji wa Lucky Construction...
View ArticleIreland yapitisha mswada wa kutoa mimba.
Wabunge wa Ireland wamepiga kura kuruhusu utoaji wa mimba katika wakati ambapo maisha ya mama mjamzito yamo hatarini. Mswada huo uliwasilishwa kutokana na kifo cha mwanamke mwenye umri wa miaka 31,...
View ArticleRais Kikwete akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait Ikulu Dar leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleJustin Bieber apologises to Bill Clinton.
Justin Bieber has telephoned Bill Clinton to say sorry for cursing him and spraying his photo with cleaning fluid in a New York City restaurant kitchen earlier this year. The former president’s...
View Article