Tigo yazindua tawi jipya la huduma kwa wateja Masaki, Dar.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkuu...
View ArticleBalozi Mulamula awasili Washington, DC.
Balozi Liberata Mulamula akishuka kwenye gari Bethesda, Maryland wakati akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia Ijumaa July 12, 2013. Mhe, Mulamula ndiye Balozi wa...
View ArticleVideo: Malala’s 10 most inspiring quotes from her UN speech.
Malala Yousafzai, the Pakistani teenage girl who made headlines after the Taliban attacked her for advocating for girls’ right to education, delivered her first public speech to the United Nations...
View ArticleMuendelezo wa Ziara ya Waziri Mkuu Pinda Njombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wa Njombe kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Turbo Julai 12,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)....
View ArticleStarkey Hearing yapiga kambi Serena Hoteli kutoa huduma za masikio bure kwa...
Mwanzilishi wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya huduma ya vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye matatizo ya kusikia ambayo...
View ArticleWakazi Kiwalali Wapewa Teknolojia ya Kutibu Maji na AQUA.
Timu ya wanachuo watafiti kutoka nchini Korea inayojulikana kwa jina la AQUA.Wa kwanza kulia ni kiongozi wa jopo hilo la wanachuo (AQUA), Peter Kang akizungumzia utafiti wao juu ya huduma ya maji...
View ArticleRais Kikwete atunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ chuo cha Mafunzo ya Kijeshi...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa...
View ArticleJeshi la Kongo latumia helikopta kufanya mashambulizi dhidi ya waasi wa M23.
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetumia helikopta kushambulia ngome za waasi wa M23 kwa siku ya tatu mfululizo katika mapigano yaliyoibuka upya karibu na mji wa mashariki wa Goma. Jeshi...
View ArticleTabora wakomalia kukuza mchezo wa bao mkoani humo.
Juma Shoka Salumu Dilunga (kushoto) akicheza mchezo wa bao na Salumu Dilunga wakati walipokuwa maeneo ya Changamoto Mkoa wa Tabora. Mchezo huo uliozoeleka kuchezwa mikoa ya Pwani umeleta chachu kubwa...
View ArticleMaisha ya wanawake 400 yaboreshwa Temeke kupitia mradi wa MWEI.
Meneja wa Vodacom Foundation kupitia mradi wa MWEI, Grace Lyon, akiwahakiki baadhi ya kinamama wajasiriamali wadogowadogo wanaofanya biashara katika soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam wakati...
View ArticleRais Kikwete amtaka rais wa Sudan kuchukua hatua kufuatia kuuawa na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais Omar Bashir wa Sudan kufuatia kuuawa na kujeruhiwa kwa askari wa Tanzania, walioko katika ulinzi wa kimataifa wa amani katika...
View ArticleMeya wa Arusha afunguka na kuwataka wanasiasa kuwapelekea wananchi maendeleo...
Meya wa jiji la Arusha amefyatuka na kuwataka wanasiasa kuwapelekea wananchi maendeleo na kuachana na kauli za kumuondoa meya huyo na malumbano yasiyo na tija kwa wakazi wa jiji la Arusha kwani...
View ArticleYUNA na UNESCO yakusanya maoni ya wananchi wa Karagwe kuhusu utekelezaji wa...
Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Dary Lwegasira alipomtembelea ofisini kwake mjini Kayanga mkoani Kagera kutambulisha mradi wa Amani na...
View ArticleMh. Pinda aweka jiwe la msingi katika Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa...
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA) wilayani Tunduru.
View ArticleNdoa za watu wa jinsia moja karibuni kuhalalishwa nchini Uingereza.
Ndoa za watu wa jinsia moja zitahalalaishwa katika mataifa ya England na Wales, baada ya bunge la Uingereza kuidhinisha mabadiliko ya mwisho katika sheria ambayo inaungwa mkono na Waziri Mkuu David...
View ArticleKampuni ya Mwandi Tanzania yamkabidhi Dkt. Mwakyembe tuzo kwa mchango wake...
Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto) akimkabidhi tuzo Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa mchango wake mkubwa wa kuboresha sekta ya reli...
View ArticleScholarships for Tanzanian women.
Background Most of managers and leaders in Tanzania formal and informal business sectors are men. In order to address this gap, Evin School of Management is providing opportunities for Tanzanian women...
View ArticleMradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TSCP) wazaa matunda kwa Miji 18 nchini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia – Tanzania, Philippe Dongier (kulia), pamoja na...
View ArticleWanahabari watembelea Mradi wa Uranium uliopo chini ya Kampuni ya Manrta...
Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium, uliopo kwenye Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma, Fredrick Kriel...
View ArticleMeya wa Jiji la Ilala Mh. Jerry Slaa afanya ziara katika masoko ya Ilala na...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa (kushoto) amefanya ziara katika masoko ya Buguruni na ilala kuangalia utofauti bei za bidhaa kabla na kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na wakati...
View Article