Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Muendelezo wa Ziara ya Waziri Mkuu Pinda Njombe.

$
0
0

IMG_0089

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wa Njombe  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Turbo  Julai 12,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMG_0095

IMG_0111

IMG_0033

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu (Kulia) wakisalimiana na Frolian Filikunjombe (76),  baba mzazi wa mbunge wa Luduwa, Deo Filikunjombe (kushoto)  mjini Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe.

IMG_0049

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo  na Frolian Filikunjombe (76), baba mzazi wa mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto)   mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles