Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bond Actor Paul Bhattacharjee Found Dead.

The body of an actor who disappeared a week ago has been found. Paul Bhattacharjee, who appeared in the James Bond film Casino Royale and EastEnders, had last been seen leaving rehearsals at the Royal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri ya manispaa ya Singida inatarajia kuvuna ziada ya chakula zaidi...

Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Joseph Mchina,akitoa taarifa yake ya utekelezaji ya mwaka 2012/2013 mbele ya kikao maalum cha baraza la madiwani juzi.Wa pili kulia ni Mustahiki meya wa manispaa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waandishi wa habari wa Tanzania waadhimisha miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mandela.

Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO Anna Itenda  akikata keki  wakati wa  hafla fupi  ya  kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee  Nelson. Keki  hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani awasilisha rasmi hati za utambulisho kwa...

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiwa na Rais Barack Obama mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho katika Ikulu ya nchi hiyo maarufu kama White House jijini Washington...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa amfagilia JK kwa ujio wa Obama.

 Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari Sunday Shomari jijini Washington DC. Na Swahili TV Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya wa Jiji la Ilala Mh. Jerry Silaa afanya ziara katika masoko ya Ilala na...

  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa ( wa nne kulia)akipata maelezo kutoka mmoja wa wafanyabiashara wa mihogo Ilala alipofanya ziara rasmi katika masoko ya Buguruni na Ilala kuangalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya...

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe. akitoa hotuba wakati akizindua kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahani msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta, aliyefariki dunia Julai 16, mwaka huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Over 9,000 Nigerians In Jail Abroad.

Nigerian’s  Foreign Affairs Minister Ambassador Olugbenga Ashiru has said that about 9,000 Nigerians are in various prisons abroad. The highest number of 752 are in UK prisons while most them are in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo kuwezesha wateja wake kiuchumi kupitia promosheni mpya ya “Miliki...

 Meneja Mbunifu wa Ofa za Tigo Suleiman Bushagama (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu promosheni mpya ya “Miliki Biashara Yako.” Pembeni yake ni Meneja Chapa wa Tigo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kutambua raia wake kupitia taarifa za DNA.

 Mkemia kutoka Vinasaba kutoka Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Fidelis Segumba (kulia) akiwaeleza waandishi wa habari juu ya matumizi ya Teknolojia ya Vinasaba vya Binadamu Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Neno la leo kutoka katika Makala ya Mwananchi Jumapili; Mugabe ni Giza,...

Na Maggid Mjengwa, DAIMA Mzee Nelson Mandela atabaki kuwa nuru kwa Wana wa Afrika na hata watu wa dunia. Hata siku atakapotutoka duniani, basi, itakuwa kimeondoka kiwiliwili chake tu, lakini, fikra za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muendelezo wa ziara ya Waziri Mkuu Pinda mkoa wa Ruvuma.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa  Idara ya uhamiaji wakati alipowasili kwenye jengo la Idara hiyo mjini Songea kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri za Singida zaagizwa kuangalia uwezekano wa kununua mashine tano...

Wakazi wa kaya ya mchungaji Charles Issa Nyambi wa kijiji cha Puma Kituntu wilaya ya Ikungi, wakipura ulezi kwa kutumia fimbo ndefu. Upuraji wa aina hiyo umweanza kupigwa vita na serikali ya mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Visiwa vingi vilivyomo ndani ya ukanda wa Bahari ya Hindi vinakabiliwa na...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi na Maendeleo ya Uhifadhi ya Visiwa vidogo vidogo uliofika Ofisini kwake Vuga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar lakamata silaha 7 na majambazi 8 na pia...

Baadhi ya askari polisi wakionyesha kwa waandishi wa habari silaha zilizokamatwa kutoka kwa watuhumiwa wa matukio ya ujambazi. DCP Mlege akitoa taarifa ya mafanikio ya Jeshi hilo kwa waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William apata mtoto wa kiume.

Mke wa mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William amejifungua mtoto wa kiume. Kate Middleton amejifungua mtoto huyo katika hospitali ya St. Mary’s, iliyoko magharibi mwa London, akiwa na uzito wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfumo mpya wa Usajili wa Vizazi na Vifo kupitia mkakati wa Usajili wa Watoto...

 Picha ya pamoja mara baada ya  kuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi  na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Chama cha Makampuni ya Simu za Mkononi...

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha  Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba Mpya: Iramba, Karagwe, Lindi, Moshi, Njombe, Tandahimba na Sumbawanga...

  Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmshauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wakiwa katika majadiliano ya kuipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live